Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao.
Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana, wanahitaji kupewa nafasi za uongozi ili kuleta tija na msukumo mpya katika utendaji wenye ufanisi.
Wapo viongozi ambao walipewa nafasi au walikuwa wabunge au watumishi katika nafasi mbalimabli wakachwa katika awamu iliyopita, Leo tunaona wakirudishwa Tena wakati wapo vijana wengi tu wenye kuweza kazi Kama ambavyo tumeona kwa Ali Hapi, Makonda na wengine.
Achana na wazee wakalee wajukuu