Fanya kazi wacha kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa.Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao.
Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana, wanahitaji kupewa nafasi za uongozi ili kuleta tija na msukumo mpya katika utendaji wenye ufanisi.
Wapo viongozi ambao walipewa nafasi au walikuwa wabunge au watumishi katika nafasi mbalimabli wakachwa katika awamu iliyopita, Leo tunaona wakirudishwa Tena wakati wapo vijana wengi tu wenye kuweza kazi Kama ambavyo tumeona kwa Ali Hapi, Makonda na wengine.
Achana na wazee wakalee wajukuu
Kafulila alikuwa mbunge, alikuwa DAS/RAS, je hakuna vijana wengine ambao wanauwezo?Acha upotoshaji akina kafulila ni wazee
Mohammed Mchengerwa ni kijanaKafulila alikuwa mbunge, alikuwa DAS/RAS, je hakuna vijana wengine ambao wanauwezo?
Kafulila alikuwa mbunge, alikuwa DAS/RAS, je hakuna vijana wengine ambao wanauwezo?
Halafu TISS ipo Umeme una hujumiwaVijana Watazima Kama Mtambo Wa Luku π ππ
ππ πππππHalafu TISS ipo Umeme una hujumiwa
Ingekuwa swala la Uchaguzi mmm!!
UjanjaujanjaMohammed Mchengerwa ni kijanaView attachment 1792208
Tatizo amesema anampa mtu kazi kutokana na sifa zake uko nyuma sasa vijana ambao hawajawahi kupata ajira atawajuaje kuwa ni wachapakaziKafulila alikuwa mbunge, alikuwa DAS/RAS, je hakuna vijana wengine ambao wanauwezo?