Pia umo kwenye Ilani ya CCM!Mradi umepitishwa na bunge!
Tuliowahi kupata adha ya kuvuka pale wakati mwingine hadi saa sita usiku mko Busisi Ferry imeloga, tunaona umuhimu wa hilo darajaDaraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Chadema kaachiwa mkwe ndio maana huyo BAVICHA amekariri!Wivu mwingine ni wa kijinga!!
Sam unamatatizo makubwa mkichwa
Kwani Chato International Airport aka Gbadolite ilipitishwa na Bunge?Mradi umepitishwa na bunge!