Ni jitu moja hivi lisiloeleweka na limejaa wivu na chuki za kipumbavu zisizo na maana Wala sbbuMtoa mada ni moja ya watu wa hovyo mno kwenye hii nchi
Ni jitu moja hivi lisiloeleweka na limejaa wivu na chuki za kipumbavu zisizo na maana Wala sbbuMtoa mada ni moja ya watu wa hovyo mno kwenye hii nchi
Kwa viongozi wa idara na vitengo sawa. Lakini kwa daraja la Busisi - Kigongo hapana. JPM alikuwa sawa. Kumbuka mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda hupitisha mizigo yao pale. Daraja lile litaondoa matumizi mabaya ya kusubiri ferry . Kwani hata sasa malori husubiri magari ya abiria yapite kwanza . Na zenyewe (malori) zivushwe usiku. G SamDaraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Tena akina Lema Mbowe, Mdee, Sugu wote walikuwepo bungeni!Kwani Chato International Airport aka Gbadolite ilipitishwa na Bunge?
Hiyo ilipigwa juu kwa juu na yule mnyalukolo mwenzangu Mfugale ndiyo maana hata kale kajumba pale Chato Airport tumekaita Mfugale Tower. Kina Lema hawajaona kitu zaidi ya maono kumhusu mwendazakeTena akina Lema Mbowe, Mdee, Sugu wote walikuwepo bungeni!
Wakwe wa Magufuli kwa sasa wanaishi Mwaniko Misungwi wala hata hawavuki, basi tu mtoa mada itakuwa kavuta bangiKwa hiyo wanaopita pale ni wakwe wa magufuli tu? Unajua ni watanzania wangapi watakao tumia daraja hilo?
Hii chuki inatoka wapi jamani?
Mwanafamilia mchungaji Msigwa alishindwa kutuwekea lami kutoka pale FFU kupitia Kleruu, uwanja wa Gangilonga hadi pale Grocery ya mama Siyovelwa?Hiyo ilipigwa juu kwa juu na yuke mnyalukolo mwenzangu Bw. Mfugale ndiyo maana hata kale kajumba pale Chato Airport tumekaita Mfugale Tower.
Nyie watu wa Dabaga tunawajua sana tabia zenu
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Ubaya wake ni nini?Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Ni wakati wa kusafisha safisha ukabila na miradi ya upendeleo wa kikanda na kikabila.Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Magufuli aliwahi kusema wazi kuwa anakazania huo mradi uishe kwani akija Rais mwingine anaweza asiendelee nao! Unajua kwanini alisema hivyo?Hivi kwanza ushatumia hiyo njia kuvuka au unatijazia server tu hapa?
Lile daraja kwa taarifa yako ni la muhimu sana na haliwezi kuachwa, lazima likamilike
Kweli Avatar zinabadili trait za respective IDWewe mpuuzi Busisi ni Tanzania usipovuka wewe mjukuu wako atavuka kwenda kuvua sato maana wewe babu yake ulikua mjinga hukumuachia urithi