Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Lingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Sorry na samahani sana. Sidhani mtoa post ni Chadema. Sio kila mwenye post zinazo kinzana ni Chadema. Kuweni constructive badala ya kuwa political dudes muda wote

Sijaona mahali popote mtoa post alipo jitambulisha kama ni Chadema
 
Bora limaliziwe tu, kuachia katikati ni hasara

Baada ya hapo kanda ya ziwa wasipewe mradi mwingine utakao gharimu pesa nyingi
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Umejuaje aisee Kama Kuna viongozi waliwekwa kwenye taasisi za umma kwa sababu ya kuwaepower watu wanaotokea ukanda pendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Uwe unatumia kichwa cha juu kufikiria kabla ya kupost humu, nani aliyekuambia kuwa hilo daraja likikamilika watalitumia wakwe wa JPM pekeyao?
 
IMG_20210326_202012_993.jpg
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Punguza uchawi na roho mbaya.
 
Nimechelewa kuja kutukana tu naona matusi yotee ushapata
 
Mleta mada nakuheshimu sana, kwenye hili hujaandika kwa kutumia akili yakk binafsi, hebu pumzika kwanza. Itendee haki akili yako
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hiyo ni project muhimu Sana, hujajua njia hiyo inaunganisha nchi Tatu, njia hiyo inafikia kupitia Mtukula kwenda Uganda, inaunganisha Karagwe mpaka kuingia Rwanda, barabara hiyo inaingia Burundi. Ni njia muhimu Sana kiuchumi.
 
Sisi tunataka Kila alichoanzisha kimalizike vizuri na Kuboresha Mengine zaidi..

mh Samia nakushauri ya kuboresha.

Kwanza fukuza wale wanaoonea watu kuna uonevu mkubwa sana serikalini hata ofisi yako ya zamani Uliyokua unajua kabisa pale kuna mtu amenyanyasa sana watumishi unamjua kabisa anza nae yule.Alikua anatukana watu hovyo na kutumia mamlaka yake vibaya kunyanyasa watu .

Wamachinga waondoe mabarabarani maisha yao yanakua hatarini sana kwa kukaa barabarani..Ni ndg zetu tunawapenda lakini wapangiwe maeneo watoke kwenye mabarabara.

Nitaendelea kukushauri Mh Rais mambo ya kuweka sawa.
Nakubaliana na wewe kwenye marekebisho. Inaonyesha wazi kuwa siyo kila alichoanzisha Magufuli ni cha kuenzi.
 
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.

Hapa ndipo umegusa penyewe kama ni kutonesha kidonda basi umetumia msumari wa moto.. wamejazana akina sukuma gete wanachojua ni kunyanyasa wafanyakazi na kujilimbikizia mali anza na Benki ya Kilimo (TADB) yule dogo (mkurugenzi) mpaka le BoT waligoma kumfanyia Vetting kutokana na uwezo mdogo lakiniJPM aliendelea kumlinda na kumtumia hasa kipindi kile cha pesa za korosho....dogo amekukwa akijipendekeza kila ziara ya JPM na kukaa mstari wa mbele...hamna kitu pale
Hapa ndio nami aliponiumiza huyu mzee wetu, wasukuma wote niliosoma nao wameajiriwa wakati Mimi naendelea kuzulura tu na baasha ya kaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Kwanini iwe ni lazima wakati Rais ana mamlaka ya kuendeleza mipango ya mtangulizi wake ama aitupilie mbali hakuna sheria inayomlazimisha.
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!

Hela zipo au mnaleta hekaya?
 
Kilombero washawekewa daraja na linaitwa Magufuli, Pangani mpango ushawekwa na hata picha ya daraja tayari. Mungu kamchukua mipango haijatimia, hajabaguliwa mtu kagusa kila mahali
 
Back
Top Bottom