Panga pangua inakuja tu. Wasukuma watusamehe kwa kweli. Walivyokula vinatosha.Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hapa ndipo umegusa penyewe kama ni kutonesha kidonda basi umetumia msumari wa moto.. wamejazana akina sukuma gete wanachojua ni kunyanyasa wafanyakazi na kujilimbikizia mali anza na Benki ya Kilimo (TADB) yule dogo (mkurugenzi) mpaka le BoT waligoma kumfanyia Vetting kutokana na uwezo mdogo lakiniJPM aliendelea kumlinda na kumtumia hasa kipindi kile cha pesa za korosho....dogo amekukwa akijipendekeza kila ziara ya JPM na kukaa mstari wa mbele...hamna kitu pale
Wale GDP yao kubwa na density ya eneo lao kubwa, hivyo hata mapato yako tofauti na yetu! Kwa hivyo Ni haki yao kujenga project za Namna hiyo.amefanya kazi nzuri sana kwa taifa letu. very well.
ila kusema kuwa hakuna kiongozi wa afrika ameweza kufanya kama yeye that a lie bro.
correct me if am wrong. egypt na nigeria wana madaraja marefu zaid africa yanayo inganisha miji. na wenzetu walijenga muda kidogo kabla yetu.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hapa ndipo umegusa penyewe kama ni kutonesha kidonda basi umetumia msumari wa moto.. wamejazana akina sukuma gete wanachojua ni kunyanyasa wafanyakazi na kujilimbikizia mali anza na Benki ya Kilimo (TADB) yule dogo (mkurugenzi) mpaka le BoT waligoma kumfanyia Vetting kutokana na uwezo mdogo lakiniJPM aliendelea kumlinda na kumtumia hasa kipindi kile cha pesa za korosho....dogo amekukwa akijipendekeza kila ziara ya JPM na kukaa mstari wa mbele...hamna kitu pale
Kikombero ipi na Mahenge ipi, usitaje maeneo tu. Naamini hapo Busisi na geography yote ya eneo hilo unaiangalia kwa tv tu hujawahi kufika, magari mengi kwa sasa yanapita Kamanga lakini ni usumbufu sana sababu watu wanasubiri feri muda mrefu. Kigoma, Bukoba, Geita, Kahama, Rwanda na Burundi wanapitia feri hiyo, daraja la Busisi litasaidia sana tena sana.Urefu wa daraja na kuja kuwa daraja maarufu sio vigezo wala kuwa sababu ya ujenzi wa daraja. Suala ni gharama za ujenzi wake vs faida za kiuchumi.
Kama ni uhitaji tu, maeneo mengi sana hapa Tz yanatumia vivuko (vingine ni vibovu) na yangeweza kufikiriwa pia kujengewa daraja. Kwa mfano maeneo ya Morogoro (Mahenge, Kilombero nk), Tanga (Pangani) nk.
Swali zuri sana. Naomba lijibiwe tafadhali.Mradi umepitishwa na bunge!
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Pale hisia zinapofanya kazi kuliko akili.Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Acha ushamba wewe ulishavuka maeneo hayo especially jion uone foleni iliyopo pale, uzuri Jamiiforums sio Twitter au Facebook ambayo utaimbisha watu pambio waitikie, punguza chuki kwa kila jambo linalomuhusu marehemu itakusaidia kufikiriHuo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!
Unataka apunguze kura za Urais 2025?Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
We dogo nilishaupinga sana huu mradi kama mtu mwenye akili. Daraja halina tija kwa watu wa kanda ya Ziwa maana hata maji ya kutumia shida.Uzeni ndege maana hazina tija ili tumalizie hilo daraja.
Na bado tutamshtaki hata kama kafukiwa atuambie alipopeleka 1.5 trillionsMradi umepitishwa na bunge!
Leo ndio mwisho wa kumuita huyo juha tuliyemzika hayo majina sijui mwamba, jemedari.Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Kwani Chato International Airport aka Gbadolite ilipitishwa na Bunge?
Daraja lina umuhimu sana kwa wenyeji wa hapo maana wanatumia muda mwingi sana kuvuka hapo huo mradi ni wa muhimu sana kuliko daraja ambalo linajengwa hapo Dar karibu na Selender bridge