PriorityKwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
PriorityKwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.

Ni wakati wa kusafisha safisha ukabila na miradi ya upendeleo wa kikanda na kikabila.
Hapa ndo nami aliponiumiza huyu mzee wetu, wasukuma wote niliosoma nao wameajiriwa wakati Mimi naendelea kuzulura tu na baasha ya kaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongezewa miaka mingapi?Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Na yeye kafutiliwa mbali na Mungu.CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Sawa mkuu. Pole sana kwa msiba mzito wa mpendwa rais wetu.
Nakusihi usibadili ID ukajiita "Thesamialianz"....
Natumaini hii ID yako ya sasa haitapotea hapa jukwani ili tuzidi kuchagizana na kuleta malumbano yenye afya kwa nchi yetu.
Miradi yote ambayo bunge halikupitisha ipigwe chini, labda ile iliyoshakamilika lakini pia ikaguliwe na kama kuna upigaji wawajibike bila kusahau ile 1.5 tr ipatikane, sasa zile hesabu za bwana harakaharaka hatuzitaki tena, madam akumbuke kuwa walisema baadhi zilipelekwa Zanzibar so asisahau huu uzushi.Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Si ajabu wala hajawahi kufika hata Mwanza, tunaotoka kanda ya Ziwa ndio tunajua umuhimu wa daraja la Busisi.Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Umekosa umakini kabisa, hata kama daraja halikustahili kuwepo, kitu ambacho pia hujakielezea kabisa.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.