Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Acha chuki basi,daraja la Busisi ni muhimu sana tena sana. Linaunganisha Mwanza na Geita. Na litapunguza muda wa kutoka Mwanza kwenda Geita. Ni muhimu sana tena sana.
Sehemu yenyewe ni 'BUSINSI'

Huyu mleta mada leo kuna kilevi fulani kakinywa ambacho kinamharibu akili. Hayuko hivi siku zote.
 
Sitaki hata kujikita kwenye umuhimu wa daraja sababu it's obvious lina umuhimu. Nachotaka kusema moyo wako umejaa chuki sana..naujali hata uamuzi huo unaweza leta chuki kwenye taifa. Unafikiri Mama akikusikiliza na wananchi wa kanda ya Ziwa wakasikia Serikali imesitisha itakuwaje? Kama sio kuanza kuligawa taifa? Au unafikiri kodi mnalipa nyie tu na ukoo wako? Hauoni madini,? Samaki, idadi ya watu kanda ya ziwa wana mchango kwa taifa? Watu kama nyie hamfai kuwa hata wenyeviti wa mitaa, uwezo wa kufikiri ni mdogo sana. Na jifunze kutokuwa na wivu na taifa lako. Furahi nchi inapopiga hatua sio kutaka kuona mambo hayaendi.
 
Urefu wa daraja na kuja kuwa daraja maarufu sio vigezo wala kuwa sababu ya ujenzi wa daraja. Suala ni gharama za ujenzi wake vs faida za kiuchumi.

Kama ni uhitaji tu, maeneo mengi sana hapa Tz yanatumia vivuko (vingine ni vibovu) na yangeweza kufikiriwa pia kujengewa daraja. Kwa mfano maeneo ya Morogoro (Mahenge, Kilombero nk), Tanga (Pangani) nk.
Huko ulipotaja hawatumii tena kivuko Magu alishaweka daraja na alilizindua mwenyewe.
 
Sitaki hata kujikita kwenye umuhimu wa daraja sababu it's obvious lina umuhimu. Nachotaka kusema moyo wako umejaa chuki sana..naujali hata uamuzi huo unaweza leta chuki kwenye taifa. Unafikiri Mama akikusikiliza na wananchi wa kanda ya Ziwa wakasikia Serikali imesitisha itakuwaje? Kama sio kuanza kuligawa taifa? Au unafikiri kodi mnalipa nyie tu na ukoo wako? Hauoni madini,? Samaki, idadi ya watu kanda ya ziwa wana mchango kwa taifa? Watu kama nyie hamfai kuwa hata wenyeviti wa mitaa, uwezo wa kufikiri ni mdogo sana. Na jifunze kutokuwa na wivu na taifa lako. Furahi nchi inapopiga hatua sio kutaka kuona mambo hayaendi.
Hizi ndio sababu mama Samia anatakiwa kuelewa misingi ya strategic investment Magufuli alizoacha na faida zake za uchumi kwa mapana.

Mleta mada hata ukimueleza kanda ya ziwa ina asilimia 30 ya watanzania wote na idadi ya watu hao ni kubwa sana in terms of strategic market targeting kwenye biashara sidhani kama anaweza kukuelewa.

Kuwekeza kwenye miundombinu inayo rahisisha access ya point A to B ni muhimu sana na inavutia uwekezaji. Unaposoma upuuzi wa mawazo ya watu kama mleta mada wala uhitaji kupoteza muda wako.

Chato imezungukwa na Mara, Bukoba na Shinyanga, Kigoma, Tabora na Katavi hazipo mbali (Jumlisha na nchi za Rwanda na Burundi); achilia sababu alizotoa Magufuli za watu kupoteza maisha ambazo za muhimu. Hila ilo daraja linaokoa muda na hela nyingi sana kwa wafanya biashara wa maeneo ya kanda ya ziwa hasa kutoka nchi jirani za Burundi na Rwanda na wafanya biashara kutoka Simiyu na Mara kuelekea opposite direction; kuna na wale wanaotoka maeneo kadhaa ya kusini kuelekea mwanza.

Kuna mambo mengine ni ya kufanya tu kuliko kusikiliza kila nonsense; labda ndio maana Magufuli akaona futa tu upinzani saa zingine unaleta nonsense unaopoteza muda wa kufanya mambo ya maana.
 
HAPANA. Mimi critic Mkubwa wa sera na uongozi wa jamaa huyu akiwa Rais...

Lakini miongozi mwa miradi inayotakiwa kuendelezwa mmojawapo ni huo ujenzi wa daraja la Busisi kuunganisha mikoa ya Geita & Kagera...

Projects zingine za kuendelezwa ni ujenzi wa reli ya SGR na Bwawa la umeme la Stigler Gorges...

Za kurekebishwa ni mradi wa ndege za shirika la ndege la taifa - ATCL. Waachwe wajiendeshe wenyewe kibiashara na washindane na mashirika mengine. Amelifufua, basi, inatosha. Serikali iache kabisa utaratibu wa kuwa ina dump pesa hapo badala ya wao ATCL kuzalisha pesa kwa biashara yao na kulipa kodi serikalini...

Uko sahihi sana Chief!

Ila hapo kwenye ATCL, wakiachiwa wajiendeshe kwa sasa tutarudi kule kule, shirika litakuwepo as a ghost project!

Watajitia hasara na mwisho wa siku Serikali italazimika kurudi Tena na kuibeba isimame upya! Sio poa!

Serikali iendelee kuwa msimamizi mkuu na Mtendaji kwa kuZingatia sheria na kanuni za Ofisi ya CAG + katiba ya nchi kuhusu taasisi za Umma na uendeshaji wake! Wakileta mzaha “walimwe” wote!

Wizara ya Maliasili na Utalii inatakiwa iwe part and parcel ya ATCL! Wanategemeana sana!

Kingine ubunifu should be the driving force ya ATCL, hasa ubunifu katika Utalii! Wizara ya Maliasili is the role player hapa!

Na private sector in Aviation, nazo ziachiliwe zifanye kazi, ila jicho la mwewe liwe juu yao , mpaka uwani! Wasipewe any gap ya ku sabotage operations!
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Ndio tatizo la watanzania mmekalia majungu na wivu wa kijinga
 
Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Watanzania ni wapumbavu sana sometimes. Hivi kuna faida gani ya kupinga aliokuwa anafanya hayati,for the welfare of the society?

Hivi mtu anayebana pesa kwa ajili ya maendeleo ya jamii kwa ujumla na yule anaehujumu pesa kwa ajili ya kujilimbikizia maghorofa na mali kila kona ya jiji kwa maslahi yake binafsi yupi ni mshenzi?
 
Nasikia wameamua ’kumkomoa maiti (better known as mwili wa marehemu!)

Haya kwa mwanawaAdam imetoweka!

Muumba wa Ardhi, Mbingu na kila kilichomo atuepushe na Shari!

InshaAllah! Ameen!
 
Hawa ni wale wabinafsi wanaofikiria matumbo yao,ana imani siku ujenzi huo ukisitishwa hela itamrudia yeye ale na familia yake...
Ndio akina shimboni shafo hao, huku wananchi wakiwa wanateseka atakachokifanya atanunua kivuko kwa hela za kufisadi mradi kisha akiweke hapo ili aingize hela na kuhakikisha kile cha serikali ni kibovu mda wote wakati with the right thinking daraja lingewezekana kujengwa tu for the same money wananchi wakafaidika.

Hii ndio aina ya viongozi ambao tunawataka sababu kwenye hio hujuma kuna mapato serikali itayakosa na kundi la watu wachache ndio litafaidika. Hao wachache ndio watatamba mji mzima na kunyanyasa wenzao kwa hela za wizi na kuhujumu muhimili wa mahakama kwa kupora haki kwa kadri wanavyojisikia.

Anatokea punguani kama Mange Kimambi anawaaminisha wajinga eti hayati alichukia matajiri na alikuwa anapambana wote muwe level 1! Kufanya mambo for the welfare of the society ndio kuchukia matajiri? Mbona Bhakresa hakupitia kwenye misuko suko hio? Yeye sio tajiri? What about Zakaria wa Murzah Wilmers? Hayati hakuwa fan wa Cartels za kifisadi.
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Vipi kuhusu maoni yako lile linalopita baharini tokea posta mpaka Oysterbay sijui huku Dar?
 
Hujui hata mradi ni wa kiasi gani unadanganya wajinga wenzako tuu... Mara nyingine ni busara kukaa kimya budah

Mradi ni wa 700 kwa mujibu wa taarifa, lakini kwa hawa wapika data usishangae kukuta ni hiyo hiyo 1t.
 
Hizi ndio siasa za Tanzania.......na hii ndio demokrasia tunayoipigania waTanzania.....hatuna budi kuyaheshimu maoni yake maana penye wengi pana mengi.......

DUNIA MSONGAMANO.....
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kila kilichoainishwa kwenye ilani kitatekelzwa,achana na mihemko ccm ni ile ie bado ipo madarakani
 
stupid
salenda sawa
busisi? no

liko kwenye ajenda za ccm
 
Back
Top Bottom