Wewe ni mbwa nyumbuMagufuli aliwahi kusema wazi kuwa anakazania huo mradi uishe kwani akija Rais mwingine anaweza asiendelee nao! Unajua kwanini alisema hivyo?
Halafu sibishani.
Umeandika pumba sana leo.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Amefanya kazi nzuri sana kwa taifa letu. Very well.
Ila kusema kuwa hakuna kiongozi wa Afrika ameweza kufanya kama yeye that a lie bro.
Correct me if I'm wrong. Egypt na Nigeria wana madaraja marefu zaidi Afrika yanayounganisha miji. Na wenzetu walijenga muda kidogo kabla yetu.
Dunia inaenda kasi kweli,na yeye akadukuliwa dah.CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Umetumia mhemuko kwenye kujenga hoja yako! Kama unafikri hilo daraja wanajengewa wakwe utakuwa punguani! Sidhani kama ulishawahi kupita hiyo njia na ukashuhudia adha wanayopata watumiaji wa barabara ya Mwanza-Bukoba! Watu wanapoteza muda sana wamsubiri kivuko! Mama ajikaze tu amalizie miradi iliyoanzishwa na asije na mradi mpya sasa hivi. Mradi wa kupiga chini ni ununuzi wa ndege full stop! Marehemu alikuwa mbishi tu na alikuwa na tamaa, hakupaswa kuwa na miradi 30 kwa kipindi cha miaka mitano tu!Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Achana na hilo taahira!Kwa hiyo wanaopita pale ni wakwe wa Magufuli tu? Unajua ni watanzania wangapi watakao tumia daraja hilo?
Hii chuki inatoka wapi jamani?
Jipige chini mwenyewe... daraja lijajengwa na soon Chato itapewa hadhi ya Mkoa..END OF STORYDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Muandika mada we ni bonge la falaaaaaaaaaa hoja yako haina mashiko... kama huna point SHUT UP PLEASE.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Watanzania Mungu anatupenda sana.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Watu wa mihemko hawa, wao ni kumpinga marehemu kwenye kila jambo, hawaangalii umuhimj wala faida zake, usishangae kesho akaja kusema mradi wa umeme ule usimamishwe una tatizo kadha, kadha wa kadha.Si ajabu wala hajawahi kufika hata Mwanza, tunaotoka kanda ya Ziwa ndio tunajua umuhimu wa daraja la Busisi.
Wasukuma Povu ni kama lote au sio Nyanda😁Muandika mada we ni bonge la falaaaaaaaaaa hoja yako haina mashiko... kama huna point SHUT UP PLEASE.
Hakuna mkamilifu, marehemu alikuwa na makosa yake, haijalishi yapi mengi kati ya mazuri yake na mabaya yake... Sisi tunapaswa kuchota yale mazuri pekee, mabaya yake kaishaenda nayo kaburini..Watanzania ni wapumbavu sana sometimes. Hivi kuna faida gani ya kupinga aliokuwa anafanya hayati,for the welfare of the society?
Hivi mtu anayebana pesa kwa ajili ya maendeleo ya jamii kwa ujumla na yule anaehujumu pesa kwa ajili ya kujilimbikizia maghorofa na mali kila kona ya jiji kwa maslahi yake binafsi yupi ni mshenzi?
Eti nikikuangalia kwa umakini mkubwa...Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hivi ushafikiria gharama za kununua vivuko hivyo unavyosema na kuvitengeneza just hata kwa muda wa miaka 10 tu. Au ujenge daraja ambalo litatudumu 50 years to come.Huo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!