Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Na wewe acha ''ujinga wa mtanzania''. Daraja kuwa ''kubwa na la kwanza Afrika kusini mwa jangwa la Sahara'' inasaidia nini? Mimi nadhani unge-argue kuwa litasaidia vitu a,b, na c. Watanzania tuna huu ujinga ulipitiliza wa kusifia vitu vyeti kuwa ni vya kipekee Afrika Mashariki au kusini mwa jangwa la Sahara bila kuhoji umuhimu wake. It is a very stupid custom. NB: sipingi wala kuunga mkono daraja hili kujengwa kwani sijui implication zake kwenye maendeleo ila nataka kukutahadharisha tu utumie akili kwenye kutetea hoja.
Wewe nyang'ao baki kwenye Kunyaland usifie vya kwenu.
 
Inatumika nguvu kubwa sana kulazimisha Magufuli asikumbukwe hahahaa
Yaani mnachoka bureee poleni sanaa
 
Hivi kijana unafikiri kwa kutumia makalio nn!! Hilo daraja linaumuhimu mkubwa kiuchumi kuliko unavyodhani
Ungeelezea umuhimu wake kwani wengi hawajafika huko ili wajue. Ni suala la mjadala tu. Otherwise na wewe utakuwa unafikiri kwa kutumia hicho hicho kiungo ulichosema.
 
Itokee mzee ndio aamke aisee atakukata vidole kimoja baada ya kingine kwa mkono wake!
Unasema nini?weeeeeeeeeee
 
Wewe msukule wa Magu umeshindwa hoja unageukia kilugha sasa! Soon utapotea na wewe kama alivyopotea aliyekuwa anakufuga!
Utapotea wewe sisi bado tupo sana tu! Tunaendelea kuongoza taifa la TZ kwa msimamo ulele ulioachwa na Jemedari wetu mpendwa Magufuli. Mtaendelea na stress zilezile hakuna wakufanya nyoko wembe utamkata palepale hatuchezi na nyang'ao sisi. Madini yetu hakuwa wa kutuibia tumeshagundua wezi wetu.
 
Wewe nyang'ao baki kwenye Kunyaland usifie vya kwenu.
Diktekta is gone! Alimdhihiki Mungu akajifanya anamtanguliza Mungu mbele huku akiua na kutesa watu kwa maelfu. Tulitahadharisha sana kuhusu covid yeye na nyie misukule yake mkawa mnatukubehi kwa kuuliza ''mama yako amekufa kwa covid? Unandugu aliyekufa kwa covid?'' Haya sasa kebehi yenu imewatokea puani na ameenda kwa hiyo hiyo covid.
 
Utapotea wewe sisi bado tupo sana tu! Tunaendelea kuongoza taifa la TZ kwa msimamo ulele ulioachwa na Jemedari wetu mpendwa Magufuli. Mtaendelea na stress zilezile hakuna wakufanya nyoko wembe utamkata palepale hatuchezi na nyang'ao sisi. Madini yetu hakuwa wa kutuibia tumeshagundua wezi wetu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nchi iko chini ya Madame Samia sasa hivi. Hawezi kufanya ukatili kama wa Magufuli. Kuhusu kulinda madini hilo kila mtu anaunga mkono. Ila ujue tuliozoea kuchapa kazi tutachapa ila ninyi misukule mliokuwa mnalishwa na Magufuli mirija yenu itakatika. Subiri uone.
 
Kama ulikuwa haufahamu ni kwamba, miradi yote iliyokuwa ktk mipango ya serikali ya awamu ya Tano ni lazima itekelezwe tu... No matter what..!
 
May be kama kuna miradi ambayo ilikukuwa kwenye mipango.. I mean kwenye makaratasi.. Ndiyo itasimama.. Bt kama mikataba imeshasainiwa na ujenzi umeanza, Sahau kuhusu kusitishwa kwake.. Hivyo zile tirioni 6 ktk mradi wa JNHPP, kigogo Busisi Bridge, lile la salenda, na miradi yote mikubwa iliyoanza...
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nchi iko chini ya Madame Samia sasa hivi. Hawezi kufanya ukatili kama wa Magufuli. Kuhusu kulinda madini hilo kila mtu anaunga mkono. Ila ujue tuliozoea kuchapa kazi tutachapa ila ninyi misukule mliokuwa mnalishwa na Magufuli mirija yenu itakatika. Subiri uone.
Unajua mfumo wewe nyang'ao. Chama dume itatawala kwa muda mrefu sana kama wanasaccos mnafikiri kilofa hivi!!
 
Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Mi nilishakaa masaa 3, nasubiri kivuko niende mwanza, nilikua natokea bukoba.
 
Back
Top Bottom