Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Ameua. Ameua watu wengi sana muuaji yule. Hakuna legacy yoyote. Ni wajinga ndiyo wanasema hivyo. Na nyie sasa mliozoea vya bure huu ni wakati wa kulamba vidonda kama inzi.

life after death: what matters alot ni maombi ya waliobaki hai, ukifa hapo ndo mwisho wako na unafaa kusubiri hukumu yako tu kama kuna maombi yanaendelea ndo yatakuokoa sasa wewe piga ramli apo
 
Unajua mfumo wewe nyang'ao. Chama dume itatawala kwa muda mrefu sana kama wanasaccos mnafikiri kilofa hivi!!
Mimi sina shida na chama gani kinatawala. Nachotaka ni uongozi bora na wa haki. Unafikiri nakula chama mimi? Labda nyie mnaoishi kwa kutumia siasa za chuki ndiyo mnaangalia mambo ya chama.
 
life after death: what matters alot ni maombi ya waliobaki hai, ukifa hapo ndo mwisho wako na unafaa kusubiri hukumu yako tu kama kuna maombi yanaendelea ndo yatakuokoa sasa wewe piga ramli apo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Endelea na dhambi ya ulawiti na kila aina ya ujinga unaofanya ukitegemea maombi yatakuokoa.
 
Mimi sina shida na chama gani kinatawala. Nachotaka ni uongozi bora na wa haki. Unafikiri nakula chama mimi? Labda nyie mnaoishi kwa kutumia siasa za chuki ndiyo mnaangalia mambo ya chama.
Nyinyi wauza madawa na wizi wa raslimali zetu hamtaweza tena tumeshajipanga vizuri sana. Tunawasubiri sana katika muda huu tuwanyooshe kama vile Jemedari Magufuli yupo tu. Msifikiri ametoka mtaendeleza wizi wenu. Msahau kabisa.
 
Urefu wa daraja na kuja kuwa daraja maarufu sio vigezo wala kuwa sababu ya ujenzi wa daraja. Suala ni gharama za ujenzi wake vs faida za kiuchumi.

Kama ni uhitaji tu, maeneo mengi sana hapa Tz yanatumia vivuko (vingine ni vibovu) na yangeweza kufikiriwa pia kujengewa daraja. Kwa mfano maeneo ya Morogoro (Mahenge, Kilombero nk), Tanga (Pangani) nk.
Huko kote yana maana isipokuwa tu Busisi? Unajua hiyo barabara inaenda wapi mmekalili Chato tu, mnasahau ndio barabara imayoenda Bukoba,kigoma mpaka wa Rwanda, Uganda na Burundi, na unapitisha maelfu ya tani za mizigo ya nchi jirani na nchi yetu pia
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hujatoa concrete reason za kufanya hivyo. Make your argument scientific. Daraja ni Bora kuliko maboti, why not finish it?
 
Hapa ndoutajua kuna watu utumia matako kufikili
 
Daraja lina umuhimu sana kwa wenyeji wa hapo maana wanatumia muda mwingi sana kuvuka hapo, huo mradi ni wa muhimu sana kuliko daraja ambalo linajengwa hapo Dar karibu na Selender bridge.
Hili la surrender kwakweli linachefua, nilipita hapo juzi daah, zile hela zingetumika sehemu nyingine.......ila hakuna aliyekamilika hata sisi tunafanya maamuzi yasiyosahihi kwenye familia zetu,Acha mzee Magu akapumzike bado kuna jambo kubwa katuachia kama watz,hasa kufanya kazi kwa matokeo......jambo la ile shule ya King'ong'o kukamilika chini ya mwezi mmoja linanifikirisha hadi leo kwakuonyesha kumbe uwajibikaji nchini upo chini ya 10%
 
Magufuli aliwahi kusema wazi kuwa anakazania huo mradi uishe kwani akija Rais mwingine anaweza asiendelee nao! Unajua kwanini alisema hivyo?

Halafu sibishani.
Tuambiwe wewe?
 
Back
Top Bottom