Daraja safi linaendelea kujengwa ni moja ya miundombinu mahususi sana kwetu tunaotumia kivuko hapo. Likamilike tusafirishe mazao yetu kwa mda. Siyo unakaa masaa 2 mpaka 5 unasubili foreni...bajeti ya kilimo ni billion 294.
..gharama za kununua ndege ni trillion 2.
..maana yake ni kwamba gharama za kununua ndege ni sawa na bajeti ya kilimo ya miaka 6 mpaka 7.
..siamini kama ni busara kuingia gharama kubwa kiasi hicho kwa mradi ambao unatuingizia hasara mwaka hadi mwaka.
Noted..bajeti ya kilimo ni billion 294.
..gharama za kununua ndege ni trillion 2.
..maana yake ni kwamba gharama za kununua ndege ni sawa na bajeti ya kilimo ya miaka 6 mpaka 7.
..siamini kama ni busara kuingia gharama kubwa kiasi hicho kwa mradi ambao unatuingizia hasara mwaka hadi mwaka.
Tumia pesa,ikuzoee..bajeti ya kilimo ni billion 294.
..gharama za kununua ndege ni trillion 2.
..maana yake ni kwamba gharama za kununua ndege ni sawa na bajeti ya kilimo ya miaka 6 mpaka 7.
..siamini kama ni busara kuingia gharama kubwa kiasi hicho kwa mradi ambao unatuingizia hasara mwaka hadi mwaka.
Daraja safi linaendelea kujengwa ni moja ya miundombinu mahususi sana kwetu tunaotumia kivuko hapo. Likamilike tusafirishe mazao yetu kwa mda. Siyo unakaa masaa 2 mpaka 5 unasubili foreni.
Wewe ni zeros brains, kigongo bridge siyo ya JPM ni ya watanzania wote, ni kiungo kizuri Cha kwenda nchi jirani na mikoa kadhaa za kigoma, geita, kagera katavi , etc tokea Mwanza, Mara, Kenya , Somalia etc. Una mawazo mgando sana, sijui wengine wakati wa kuzaliwa walitanguliza miguu badala ya kichwa, na malezi zero kabisaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Hilo daraja la Busisi Kigongo kujengwa limewaumiza sana WachagaWewe ni zeros brains, kigongo bridge siyo ya JPM ni ya watanzania wote, ni kiungo kizuri Cha kwenda nchi jirani na mikoa kadhaa za kigoma, geita, kagera katavi , etc tokea Mwanza, Mara, Kenya , Somalia etc. Una mawazo mgando sana, sijui wengine wakati wa kuzaliwa walitanguliza miguu badala ya kichwa, na malezi zero kabisa
Wao walijenga KIA kipindi cha msuya watu hawakulalamika.Hilo daraja la Busisi Kigongo kujengwa limewaumiza sana Wachaga
Wewe ni mkuu...ndugu sanaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Wewe ni zeros brains, kigongo bridge siyo ya JPM ni ya watanzania wote, ni kiungo kizuri Cha kwenda nchi jirani na mikoa kadhaa za kigoma, geita, kagera katavi , etc tokea Mwanza, Mara, Kenya , Somalia etc. Una mawazo mgando sana, sijui wengine wakati wa kuzaliwa walitanguliza miguu badala ya kichwa, na malezi zero kabisa
Madhara ya bia za ofa na bando la kuwekewa....unaona umeyamaliza maisha na unaanza kuandika chochote... inawezekana hata linapojengwa daraja hapajui ila amekaririshwa linaenda kwa wakwe wa Magufuli...tuache nongwa. Siku hizi Jamii Forums imevamiwaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Sasa unaumiaje maendeleo ya nchi yako mwenyewe?πππHilo daraja la Busisi Kigongo kujengwa limewaumiza sana Wachaga
Acha ubwege hujui kuwa Sengerema Kuna CHADEMA wengi kuliko huko kwenu MilumbaniLingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Huyu mtoa uzi kama angekuwa mali yangu naeza badilishana na mtu anipe kinyesi nimwachie huyu jamaaMtoa mada ni moja ya watu wa hovyo mno kwenye hii nchi
Mimi huwa naamini asilimia kubwa ya members humu ni waelewa,lakini kumbe kuna wajinga wa kiwango cha juu kama wewe Sam!Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.