funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 344
Hata Bandari ya Bwagamoyo imo kwenye ilani Mkuu.Pia umo kwenye Ilani ya CCM!
Tafakari.
Hata Bandari ya Bwagamoyo imo kwenye ilani Mkuu.Pia umo kwenye Ilani ya CCM!
Labda ungesema lile la salender linalopita baharini hapo ningekuelewaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Rais Samia ni JPM version two, sidhani kama anaweza kuwaza huu upuuzi ulioandika. Au umesahau, ukishachukua jembe kulima ni marufuku kugeuka nyuma?.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kuna watu wanachuki mpaka shetani anawashangaa. Mbowe & Co siku mkipata ikulu, watanzania wataomboleza.Kwa hiyo wanaopita pale ni wakwe wa Magufuli tu? Unajua ni watanzania wangapi watakao tumia daraja hilo?
Hii chuki inatoka wapi jamani?
Mkuu kodi inayo zalishwa Geita hujui? Kama mkoa unapata zaidi ya billion 9 kwa mwaka je serikali kuu inapata ngapi kutoka GGM? Bado wachimbaji wadogo.Kwa kodi gani iliyotolewa mpaka mkajengewe hilo daraja
Miradi yote iliyoanzishwa na Jemadari ilipangwa ikamilike 2015 - 2020 mwenyewe akiwepo lakini hata robo haikukamilika, yetu macho ikamilishwe na mtu mwingine Jemadari akiwa amepumzika mita 2 chini ya Ardhi. Wishful thinking of a fool!Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
CHADEMA walishawahi kuongoza hii nchi?Lingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
CHADEMA kutoka kuwa chama cha siasa hadi kuwa chama cha watu wenye roho mbaya wasiopenda maendeleo ya watanzaniaDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Mkuu, halina faida yeyote, unajenga mavitu ya hovyohovyo eti tu uwafurahishe wapiga kura wako,Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Hilo daraja ni mradi wa kijinga, sisi ndio tunaishi huku, tunayo mahitaji mengi zaidi ya hili lidarajaKwa hiyo wanaopita pale ni wakwe wa Magufuli tu? Unajua ni watanzania wangapi watakao tumia daraja hilo?
Hii chuki inatoka wapi jamani?
Kwendraa tunaoishi uko ni wengi ilo daraja lazima liishe.Hilo daraja ni mradi wa kijinga, sisi ndio tunaishi huku, tunayo mahitaji mengi zaidi ya hili lidaraja
Kama yeye alivyomfuta mkwere na bagamoyo,Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Pumbavu sana ww hata cjasoma upupu wako au kwa sababu ww hujui adha tunayo ipata hukuDaraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.