Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Urefu wa daraja na kuja kuwa daraja maarufu sio vigezo wala kuwa sababu ya ujenzi wa daraja. Suala ni gharama za ujenzi wake vs faida za kiuchumi.

Kama ni uhitaji tu, maeneo mengi sana hapa Tz yanatumia vivuko (vingine ni vibovu) na yangeweza kufikiriwa pia kujengewa daraja. Kwa mfano maeneo ya Morogoro (Mahenge, Kilombero nk), Tanga (Pangani) nk.
Punguzeni chuki zenu binafsi sisi sote ni watanzania yanini tuchukiane?hilo daraja linaumuhimu mkubwa sana kiongozi.
 
Wachaga tulieni basi mbona sisi wapemba tumechukua nchi na tupo kimya.
Ili kabila halifai hata kidogo kutoa kiongozi, wamejaa chuki, majivuno, ubinafsi na kujiona wao ni bora na wanapaswa kupewa maendeleo wenyewe tu kuliko wengine.
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Ndugu punguza kutumia siasa kwenye mambo ya science, kwanza hujaeleza kwa nn daraja hilo lisijengwe ili tuone kwamba hasara zinazidi faida, la pili gharama za kuvunja huo mkataba na kandarasi zinaweza kuwa kubwa kuliko gharama ya ujenzi au kukaribiana. So faida iko wapi ya kuuvunja. Watu tupunguze emotions kwenye mambo yanayohitaji kutumia akili
 
Huo mradi hata ukiendelezwa hauna maana yoyote ile kwani tozo za kuvukia pale walalahoi watalazimika kurudi kwenye kivuko. Mradi wa trilioni 1 tungeamua kuweka vivuko pale vya kisasa na fedha nyingine kuelekezwa kwingine ingegharimu nini? Pale hakuna msongamano ila shida ni uhaba wa vivuko. Nakuambieni kuwa ule mradi ni wa hovyo hovyo!

Nchi kama China wananchi wanatozwa kodi za kuvuka madaraja kwa sababu hawalipi kodi

Hilo daraja la Maghufuli busisi hata wananchi wakipita bure sioni tatizo kwa Kua ni kodi zetu ndio zinatakiwa zilete maendeleo
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kama hazimtoshi zake basi atakusikiliza upupu wako! Rais wetu mpendwa Mh Mama SSH, the Iron lady,yupo vizuri upstairs! Na isitoshe, anajukumu la kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM yenye pg 303 ambayo inalo hilo daraja unalolichukia😂🤣, na pia ameahidi kutekeleza pia ahadi zote alizozitoa Magu kwa watz kila mahali nchi nzima! Mungu amuongoze na kumbariki ktk kutimiza yote mema kwa watz!
Upumzike kwa amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 😭🙏!
 
Halina Tija kwa Taifa, limejengwa kwa utashi wa MTU binafsi.Kuna miradi mingi ambayo Mh.Rais wa JMT Madame President SSH na viongozi wenzake lazima waifanyie mapitio kama inafaa kweli kuendelea?Fikiria Chato Stadium, Airport, Referral Hospital,Kigongo Busisi Bridge,Salender Bridge etc.
Nchi hii ni yetu sote,tunapoijenga tuweke vipaumbele.Tukamilishe JKN Hydro Electric Dam na sgr ili tuweze Ku recover tulichowekeza.Tuhakikishe chuma na Coal vinachimbwa tujenge sgr kuunganisha mikoa yote mpaka Zanzibar kwa treni na kuzalisha gas na kuisambaza majumbani kama nishati mbadàla.Miradi kama hiyo hata ikikopewa fedha ni sawa,lakini daraja la Kigongo Busisi?

Ni kweli kabisa “halina tija” miradi iliyo na tija ni Daraja la mto Wami kwakuwa linaunganisha Dar na Mikoa ya Kaskazini,pia Rais inabidi aangalie zaidi ujenzi wa miradi mikoa hiyo ya Kasakazini maana ndiyo wanastahili zaidi tangu enzi hizo kuwa na kila kitu kizuri na hasa Kirimanjaro. Umefurahi sasa!
 
Na ule uwanja wa Chato unaunganisha nini?

Kuna wafugaji kule itawasaidia kusambaza nyama kwa wakati kwenda nchi na Mikoa Jirani bila Kuoza na migodi Ya dhahabu itawalaisishia kwenda kwenye biashara zao na wao pia ni wa Tanzania Route zao ni Dar-Dodoma -Geita halafu Geita-Dodoma-Dar
 
Uko vizuri,
Yafuatayo lazima yatekebishwe;
1. STIGLERS Gorge ni kuachhana nayo mara moja. Hatuwezi kupata Megawati 2100 pale hata tukimaliza kujenga. Umeme utegemeao mvua umepitwa na wakati. Tujitahidi kuwalipa Wakandarasi kwa like walichokifanya. Tunaweza kupata umeme wa gesi Megawati nyingi kuliko hizo kwa uwekezaji mdogo tu.

2. Ondoa Serikali Dodoma, Rudisha Dar es Salaam. Ule mji wa Serikali wa Mtimba ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Quality ya nyumba HOVYO, barabara vumbi tupu. Chamwino ibaki Kama Ikulu ndogo. Waziri Mkuu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Serikali za Mitaa zinaweza zikabaki

3. Kwenye SGR tuendelee lakini tukifika Nzega tueelwkee Mwanza ili tu Target mzigo wa Uganda unaokuja kwa Meli. Uganda Wana metric tons zaidi ya 3 Million za mizigo kwa Mwanza dhidi ya 800,000 za Rwanda

4. Uza Dreamliners zote baki na Airbus na Bombardie. Tujielekeze na usafiri wa ndani ya nchi na wa East and Central Africa

5. Daraja la Coco-Agha Khan limaliziwe

6. Daraja la Busisi kule Mwanza ni la kuachana nalo. Kivuko kinatosha

Miradi ya Magufuli ukiiendekeza utaishia kutolipa wafanyazi mishahara, kupandisha kodi za TRA, kuwanyanga'anya matajiri na wafanya biashara hela zao kwenye mabenki.

Tufanye tunayoyaweza kwa wakati, mengine watafanya wengine. Kwa kutaka kufanya yote ndiyo maana AMEKUFA

Here comes another JPM hater! Haya no 6 achana nayo badala yake elekeza hizi pesa Kilimanjaro,maana hawa ndiyo Wanadeserve mema yote ya Nchi hii.
 
Mtatumia kivuko kinachotumika sasa. Kuna mambo muhimu mengi ya kufanya. Kwa mfano wafanyakazi wa Tanzania hawaja pewa increments zao. It was STUPID kwa Magufuli kusema eti siwaongezi mshahara najenga miundo mbinu.

Ongea kingereza chako chote,Daraja linajengwa na huna cha kufanya.
 
Wacha matusi hata Kama wewe ni la 7. Kuwa mpole Msukuma, iko siku nitakurudisha kusoma hapa tena.

Kwa taarifa yako mkandarasi ndiyo kwanza anapiga kazi usiku na mchana,au hujui kama
Daraja la muda limemalizika siku tatu zilizopita tena na sasa Kazi yenyewe ndiyo inaanza! Tutapiga chini Darka la mto Wami na si Busisi hiyo sahau
 
For sure mleta uzi utakuwa mchagga muuza duka, kama mnataka tuchapane vita bya wenyewe kwa wenyewe nyie wachaga jaribuni kusimamisha ujenzi wa hilo daraja, pambaf znq

Inatumika nguvu kubwa sana kulazimisha Magufuli asikumbukwe hahahaa
Yaani mnachoka bureee poleni sanaa
Alafu
Kuwa la Kwanza kwa ukubwa kusini mwa jangwa la Sahara Kuna tija gani kwa taifa letu?
Hebu weka hapa tuone
Litakuwa kama tourism fulani hivi, ila nyie mafala mnawivu wa *******, tupige kazi tuache chuki, tuipende Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom