Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

the fact that everyone will die doesn't categorize death, its unfortunate that you see death from a human perspective because all you carry is hate and violence, i have to tell you that you will also die, your childrens will also and everyone else will, either from natural causes, diseases, wars you must die!
Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Mtoa mada hilo eneo umewah kupta?Kwa kutwa yanapita magar zaid ya 1000.Kwa usumbufu unaopatikana pale kwann pasijengwe daraja km serikal ina uwezo huo?Ni bora ungesema lile daraja liwe la kulipiwa km kigambon,kwa kwel ningekuelewa.
 
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kila taaaisi ya umma wakuu wake ni kanda ya ziwa. Mama chunguza.
 
Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Vipi hujawahi dai mtu pesa uliyomkopesha?
 
Unapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Kukamilika hatukai Bali kukamilika kwa kipindi kifupi Hilo ndilo linalopigwa
Maana mlijenga dhana kwamba aongezewe muda amalizie miradi yake.
Tunaka miradi muhimu iendelee bila kunyonya pesa zote mtaani na mifukoni mwa watanzania
 
Tunaomba miradi yote imalizike kama ilivyoaanzishwa
 
Chato imezungukwa na Mara, Bukoba na Shinyanga, Kigoma, Tabora na Katavi hazipo mbali (Jumlisha na nchi za Rwanda na Burundi); achilia sababu alizotoa Magufuli za watu kupoteza maisha ambazo za muhimu
Kati ya yote muhimu uliyoandika, ni hili hapa pekee ulilochanganya akili.

Unajaribu kuhalalisha jambo zuri kwa jambo batili.
 
Kukamilika hatukai Bali kukamilika kwa kipindi kifupi Hilo ndilo linalopigwa
Maana mlijenga dhana kwamba aongezewe muda amalizie miradi yake.
Tunaka miradi muhimu iendelee bila kunyonya pesa zote mtaani na mifukoni mwa watanzania
Mkuu unajua pesa inaingiaje mitaani? Kwa taarifa yako serikali ikipeleka pesa kwenye miradi ndiyo pesa inaingia mitaani.
 
Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Halina Tija kwa Taifa, limejengwa kwa utashi wa MTU binafsi.Kuna miradi mingi ambayo Mh.Rais wa JMT Madame President SSH na viongozi wenzake lazima waifanyie mapitio kama inafaa kweli kuendelea?Fikiria Chato Stadium, Airport, Referral Hospital,Kigongo Busisi Bridge,Salender Bridge etc.
Nchi hii ni yetu sote,tunapoijenga tuweke vipaumbele.Tukamilishe JKN Hydro Electric Dam na sgr ili tuweze Ku recover tulichowekeza.Tuhakikishe chuma na Coal vinachimbwa tujenge sgr kuunganisha mikoa yote mpaka Zanzibar kwa treni na kuzalisha gas na kuisambaza majumbani kama nishati mbadàla.Miradi kama hiyo hata ikikopewa fedha ni sawa,lakini daraja la Kigongo Busisi?
 
Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Mkuu hiyo kanuni ni valid kama huna madaraka ya kufanya maamuzi kuhusu watu wengi otherwise baadhi watafanya sherehe

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Acha uongo wew,binadamu ulieumbwa na mungu usikosane na mtu yeyote duniani hapa...wew kama nani??? Are you an Angel???
 
Back
Top Bottom