ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Angaliaaa huyu thread inazungumzia kitu gani? Au hujui kinachojadiliwa hapaMizigo ishaanza kwenda Sudani kusini kupitia Kenya hapo katikati kulikua na matatizo nao walikua na usumbufu nani kazungumzia magendo soma uwe unaelewa na kujibu
Mizigo ishaanza kwenda Sudani kusini kupitia Kenya hapo katikati kulikua na matatizo nao walikua na usumbufu nani kazungumzia magendo soma uwe unaelewa na kujibu
Walikua wanapeleka kinyemela na kwa kutukomoa walitangaza mahindi yetu yana sumu Dunia nzima imesikia...Mizigo ilianza kwenda hata kabla ya Magufuli kuumwa na kufariki....wewe labda ndio hufatilii
Umekariri ?? Kwa hiyo unasemelea kwa nani ?Angaliaaa huyu thread inazungumzia kitu gani? Au hujui kinachojadiliwa hapa
Ulitaka arudishe kwao kwa utaratibu upi?mfano Kenya bange ni halali kwetu ni halamu mtu umemkamatia kwetu unarudisha bange kenya wakati kwao zipo?au china unga haramu na bongo halali hivyo ukikamatwa china ukifungwa au kunyongwa unasema kwetu halali nirudisheni kwetu.je kwa nn usifanyie kwenu uje kufanyia kwa wenzako?Ilitakiwa virudishwe kwao tuu Kama vibali hakuna au alievileta ndio ahukumiwe sio vifaranga kuvichoma vile ni unyama na ukatili kwa viumbe wa kiwango cha juu mno hizi Nchi zinategemeana huwezi kumchukia jirani yako kiasi hicho...
Semelea ndio lugha ya wapi? Jikite kwenye mazungumzo ya thread husika Acha kupuyangaUmekariri ?? Kwa hiyo unasemelea kwa nani ?
Mkuu umetoka nje ya mada yangu mfano wako wa bangi ni tofauti a vifaranga mfano toa unaohusiana...Ulitaka arudishe kwao kwa utaratibu upi?mfano Kenya bange ni halali kwetu ni halamu mtu umemkamatia kwetu unarudisha bange kenya wakati kwao zipo?au china unga haramu na bongo halali hivyo ukikamatwa china ukifungwa au kunyongwa unasema kwetu halali nirudisheni kwetu.je kwa nn usifanyie kwenu uje kufanyia kwa wenzako?
Km mpaka rasmi Upo mtu anapita kichochoro huyo ana nia njema?Km kuagiza vifaranga kuna sheria zake na vibali vinatolewa ww unaingizwa kinyemela bila vibali hiyo ni kusudi au bahati mbaya?
K.m nimekubaliana na sheria unajulikana hairuhusiwi kuchukua vifaranga au nauli nchi nyingine kuingiza TANZANIA ila ukapewa exception cases na haukufuata kosa la nani na wakati sheria inasema vichomwe km adhabu.
Ingelikua vema umesema sheria mbovu ila si maamuzi majibu.
Angelipita mwakani angelirudishwa visingechomwa pia makampuni y vifaranga yapo..how intachiki si wa kenya?angeomba wamuagizie
Mzalendo mnyonge...Semelea ndio lugha ya wapi? Jikite kwenye mazungumzo ya thread husika Acha kupuyanga
Sawa.sheria unasemaje kuhusu ku import vifaranga na km vikishikwa hakuna nyaraka na vimepita njia ya panya?Mkuu umetoka nje ya mada yangu mfano wako wa bangi ni tofauti
Hii inahusika vip na title ya thread hii? ebu kajifunze namna ya kujadilianaMzalendo mnyonge...
Du! Hizi bangi mmepata wapi? Hivi hata huyo aliyehusika kuchoma hao vifaranga, siamini kama ni mtanzania! Yaani vinalia chwiii chwiii chwiii wala hana habari. Huyu lazima akili zake zina walakini. Binadamu hawawagi namna hiiMuarifu hawezi tupangia adhabu ya kumpa, wale vifaranga walikuwa wanahatarisha maisha ya vifaranga wengi zaidi kama wangeingia mtaani wakiwa na maradhi, ile adhabu ni kali na fundisho hakuna atakae thubutu kuruka utaratibu maana adhabu ni kali na hasara tunakutia
Wanaoongea maajabu ya Magu mbona wengi tu? Yaani hata hoja za kujitetea hamna. Kuua vifaranga ni UUAJI usio na maana yoyote. Haishangazi tunaonekana kituko dunia nzimaHivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!
Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa MagufuliView attachment 1773769
Kusema kweli ndio udhalilishaji? Wenye makosa ni viongozi wa serikali ya Tanzania. Ule muda waziri Mkuu anatoa tangazo kwamba Magufuli ni mzima wa afya anachapa kazi, taarifa ya Samia ilikuja kuonyesha kwamba alikuwa mgonjwa mahututi. Serikali iombe radhi kwa upotoshaji huo. Minong'ono huibuka pale ambapo hakuna taarifa kamiliMbona Wakenya hawajaomba radhi kuhusu hili?
Soma>>> Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu wa "online media" dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu (Hayati John Magufuli)
Tunashauriwa tutumie' akili zaidi kuliko maguvu' katika mambo yetu mengi tunayojaribu kufanya, ili kuleta ufanisi wa kudumu, kwa mambo mengi tunayofanya....kazi iendelee.Yaani watu waingize vifaranga kwa njia za haramu halafu unataka tuwachekee! !hawa vijana wa chadema kuna shida mahali
Ambokile , ugonile Mwaisa , Mbona wao Kenya waliyarudishia njiani Mahindi yenu yenye kansa , ulisikia yameteketezwa ?Kweli wewe ni mjinga sana.
Kwahiyo unafurahia biashara haramu za magendo?
Yaani tuwaombe radhi wahalifu!?
Nyumbu wa chadrama bwana!
Kwa nini unaniuliza mkuu Erythro., kuhusu kitabu hicho.Kalamu1 umewahi kusoma kitabu cha Animal Farm ambacho Askofu Mwamakula anadai huenda Ndugai alikisoma ?
Binadamu ndio hutengeneza silaha za kuua binadamu wenzake, wala silaha haijajitengeneza sasa sijui wewe binadamu unamuelewaje! !kuhusu kuchoma vifaranga ndio ni sahihi hatuwezi kuhatarisha usalama wa kuku wetu kwa kucheka na wavunja sheria, tutakutia hasara mpaka akili ikukae sawa, hatuna huruma na wahalifuDu! Hizi bangi mmepata wapi? Hivi hata huyo aliyehusika kuchoma hao vifaranga, siamini kama ni mtanzania! Yaani vinalia chwiii chwiii chwiii wala hana habari. Huyu lazima akili zake zina walakini. Binadamu hawawagi namna hii