Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

Rais Samia Suluhu, tumia ziara yako nchini Kenya kuomba radhi kwa kuchomwa vifaranga na awamu iliyopita nchini mwako

Mizigo ishaanza kwenda Sudani kusini kupitia Kenya hapo katikati kulikua na matatizo nao walikua na usumbufu nani kazungumzia magendo soma uwe unaelewa na kujibu
Angaliaaa huyu thread inazungumzia kitu gani? Au hujui kinachojadiliwa hapa
 
Mizigo ishaanza kwenda Sudani kusini kupitia Kenya hapo katikati kulikua na matatizo nao walikua na usumbufu nani kazungumzia magendo soma uwe unaelewa na kujibu

Mizigo ilianza kwenda hata kabla ya Magufuli kuumwa na kufariki....wewe labda ndio hufatilii
 
Mizigo ilianza kwenda hata kabla ya Magufuli kuumwa na kufariki....wewe labda ndio hufatilii
Walikua wanapeleka kinyemela na kwa kutukomoa walitangaza mahindi yetu yana sumu Dunia nzima imesikia...
 
Ilitakiwa virudishwe kwao tuu Kama vibali hakuna au alievileta ndio ahukumiwe sio vifaranga kuvichoma vile ni unyama na ukatili kwa viumbe wa kiwango cha juu mno hizi Nchi zinategemeana huwezi kumchukia jirani yako kiasi hicho...
Ulitaka arudishe kwao kwa utaratibu upi?mfano Kenya bange ni halali kwetu ni halamu mtu umemkamatia kwetu unarudisha bange kenya wakati kwao zipo?au china unga haramu na bongo halali hivyo ukikamatwa china ukifungwa au kunyongwa unasema kwetu halali nirudisheni kwetu.je kwa nn usifanyie kwenu uje kufanyia kwa wenzako?

Km mpaka rasmi Upo mtu anapita kichochoro huyo ana nia njema?Km kuagiza vifaranga kuna sheria zake na vibali vinatolewa ww unaingizwa kinyemela bila vibali hiyo ni kusudi au bahati mbaya?
K.m nimekubaliana na sheria unajulikana hairuhusiwi kuchukua vifaranga au nauli nchi nyingine kuingiza TANZANIA ila ukapewa exception cases na haukufuata kosa la nani na wakati sheria inasema vichomwe km adhabu.
Ingelikua vema umesema sheria mbovu ila si maamuzi majibu.
Angelipita mwakani angelirudishwa visingechomwa pia makampuni y vifaranga yapo..how intachiki si wa kenya?angeomba wamuagizie
 
Kweli wewe ni mjinga sana.

Kwahiyo unafurahia biashara haramu za magendo?

Yaani tuwaombe radhi wahalifu!?

Nyumbu wa chadrama bwana!
 
Mkuu umetoka nje ya mada yangu mfano wako wa bangi ni tofauti a vifaranga mfano toa unaohusiana...
 
Kwahiyo mama ataomba radhi Sana maana Jiwe kaharibu ssna ndani ya nchi na nnje ya nchi .
 
Muarifu hawezi tupangia adhabu ya kumpa, wale vifaranga walikuwa wanahatarisha maisha ya vifaranga wengi zaidi kama wangeingia mtaani wakiwa na maradhi, ile adhabu ni kali na fundisho hakuna atakae thubutu kuruka utaratibu maana adhabu ni kali na hasara tunakutia
Du! Hizi bangi mmepata wapi? Hivi hata huyo aliyehusika kuchoma hao vifaranga, siamini kama ni mtanzania! Yaani vinalia chwiii chwiii chwiii wala hana habari. Huyu lazima akili zake zina walakini. Binadamu hawawagi namna hii
 
Yaa
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa MagufuliView attachment 1773769
Wanaoongea maajabu ya Magu mbona wengi tu? Yaani hata hoja za kujitetea hamna. Kuua vifaranga ni UUAJI usio na maana yoyote. Haishangazi tunaonekana kituko dunia nzima
 
Kusema kweli ndio udhalilishaji? Wenye makosa ni viongozi wa serikali ya Tanzania. Ule muda waziri Mkuu anatoa tangazo kwamba Magufuli ni mzima wa afya anachapa kazi, taarifa ya Samia ilikuja kuonyesha kwamba alikuwa mgonjwa mahututi. Serikali iombe radhi kwa upotoshaji huo. Minong'ono huibuka pale ambapo hakuna taarifa kamili
 
Yaani watu waingize vifaranga kwa njia za haramu halafu unataka tuwachekee! !hawa vijana wa chadema kuna shida mahali
Tunashauriwa tutumie' akili zaidi kuliko maguvu' katika mambo yetu mengi tunayojaribu kufanya, ili kuleta ufanisi wa kudumu, kwa mambo mengi tunayofanya....kazi iendelee.
 
Kweli wewe ni mjinga sana.

Kwahiyo unafurahia biashara haramu za magendo?

Yaani tuwaombe radhi wahalifu!?

Nyumbu wa chadrama bwana!
Ambokile , ugonile Mwaisa , Mbona wao Kenya waliyarudishia njiani Mahindi yenu yenye kansa , ulisikia yameteketezwa ?
 
Kalamu1 umewahi kusoma kitabu cha Animal Farm ambacho Askofu Mwamakula anadai huenda Ndugai alikisoma ?
 
Kalamu1 umewahi kusoma kitabu cha Animal Farm ambacho Askofu Mwamakula anadai huenda Ndugai alikisoma ?
Kwa nini unaniuliza mkuu Erythro., kuhusu kitabu hicho.
Mkondo nilioingia ulinitoa huko wakati nilipokuwa natakiwa nikisome bila hiari yangu.

Hata hivyo, nilishasimuliwa mara nyingi sana kuhusu wanyama hao kiasi kwamba ni kama nilishakisoma, kwa sababu maudhui yake siyo mageni kwangu.

Kwa hiyo, najaribu kuunganisha ninayoyajua juu ya wale wanyama na mambo ya ajabu sana anayofanya Ndugai, nashindwa kuunganisha.

Tukitoka huko, ninazidi kutatizwa sana na swali lako, na jinsi yote haya yanavyohusiana na mada iliyopo jukwaani. Hapa umenipoteza kabisa kwa mara ya kwanza, nadhani!
 
Du! Hizi bangi mmepata wapi? Hivi hata huyo aliyehusika kuchoma hao vifaranga, siamini kama ni mtanzania! Yaani vinalia chwiii chwiii chwiii wala hana habari. Huyu lazima akili zake zina walakini. Binadamu hawawagi namna hii
Binadamu ndio hutengeneza silaha za kuua binadamu wenzake, wala silaha haijajitengeneza sasa sijui wewe binadamu unamuelewaje! !kuhusu kuchoma vifaranga ndio ni sahihi hatuwezi kuhatarisha usalama wa kuku wetu kwa kucheka na wavunja sheria, tutakutia hasara mpaka akili ikukae sawa, hatuna huruma na wahalifu
 
Back
Top Bottom