Naona unampangia cha kufanya Tena kea msisitizo.Hello JF,
Hongera mama Samia kuwa kiongozi wetu mpya...
Naona unampangia cha kufanya Tena kea msisitizo .
Kawani we ndo unampangia ainze na kipi, apache kip na asifanye kipi.?
Kama ndivyo we ndo president na fanya kama unavyo mwagiza.
#We believe in you Ma Samia
This is called High IntelligenceHello JF,
Hongera mama Samia kuwa kiongozi wetu mpya.
Swala la ajira kwanza hamna evidence kuwa lilikua tatizo kubwa kipindi cha Magufuli...
sipendi watu wanao lia lia, mjiajiri"SIKIA SAUTII YA WANYONGE':
Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa.
Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mifugo...
Uwekezaji bila mtaji?Watanzania inabidi tusisubiri ajira za serikali. Tufungue miradi zaidi mpaka leo hii kuna upungufu wa ngano, sukari, mafuta lakini unataka upate ualimu ambao pesa yenyewe ni ndogo badala ya kuwekeza.
Ukisubiri ajira serikalini mkuu utasubiri sana,jiajiri.Serikali ita ajiri wangapi,mbona wahitimu mko wengi.Serikali itaajiri kufuatana na uwezo wake kifedha na kama nafasi za ajira zipo.Jiongeze mkuu.Serikali hailazimiki kukupatia ajira,imechangia kwenye kukupa elimu huo ni msaada mkubwa."SIKIA SAUTII YA WANYONGE':
Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa.
Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo na mit'o....
Hivi kila mtu hapa JF ni mfanya biashara, kumbe tuna mastockist wengi sana humu JF, hakika humu wamekaa business tycoons maana kila mtu anawaambia magraduates jiajiri.... Business tycoons my foot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukisubiri ajira serikalini mkuu utasubiri sana,jiajiri.Serikali ita ajiri wangapi,mbona wahitimu mko wengi.Serikali itaajiri kufuatana na uwezo wake kifedha na kama nafasi za ajira zipo.Jiongeze mkuu.Serikali hailazimiki kukupatia ajira,imechangia kwenye kukupa elimu huo ni msaada mkubwa.
Usitegemee kumaliza masomo ndo uajiriwe, find means za kuishi usitegemee serikali kukidhi utoaji wa ajira kwa wahitimu wote nchi hii, elimu uliyopata changanya na za kwako.
Exactly ni upuuzi tu, lijitu linajua kusema JIAJIRI tu,... Usikute hata hawajui maana ya business plan, hawajui hata laws of demands and supply, hawajui hata market research, hawajui hata terms and conditions za credit policies kwenye financial institutions, hawajui ya kwamba baadhi ya government policies hususan zinazo husu investment zinachangia ku affect wafanya biashara wakubwa na wadogo kuyumba wanao toa ajira kwa wingi...wanaishia kusema Jiajiri Jiajiri Jiajiri... Pathetic