Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa.. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu..KUKOSEA KUPO!!!!
mmmh kweli amesema anajenga Uchumi, Mwenzake hakulipa Vat return kisa anajenga flyover
 
Huyo kiongozi unayemtaka hayupp Dunia hii

Manage your expectations pal

Hatuwezi kuwa Kila wakati tunalalamika tuuuuu
 
Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa.. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu..KUKOSEA KUPO!!!!
Kama anashindwa kusimamia katiba aliyoapa kuilinda huenda uwezo wake ulitakiwa kuishia kwa unakamua wa rais tu
 
Mwogope Mungu. Una shida gani kwani?
 
Ni mapema sana kufanya projection
Mapema inaanza kwa kuhesabu siku ngapi, Mseveni anatawala tangu mwaka 1986 zaidi ya miaka 34 lakini anasema nchi bado changa yampasa kutawala daima

Kwenye siasa hakuna mapema wala kuchelewa, Wakati ni sasa
 

Pumbafu, pumbafu, pumbafu mara 3..

Pumbafu kabisa ww, pumbafuuu pumbaaaa kabisa ww, pumbafu
 

Hivi nyie watu uhuru ambao mnautaka ni uhuru gani?

Mbona vikao vya ndani vya vyama vinafanyika?

Au ni lazima mpite mitaan na kuandamana ndio mnaona ni uhuru?
 
Acheni Unaaa....

Hasahasa mikutano ya kisiasa kwa sasa ya nini!??

Acha ujinga.
 
Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Mshana my brother
Hivi uhuru ni lazima kuwe na maandamano?

Au uhuru ni kulazimisha rais afanye yale ambayo vyama vya siasa yanataka ?
 
Rais ni Mwenyekiti wa chama,

Kiongozi wa serikali,

Na mkuu wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…