Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

Kwa sasa kuna watu wanajilazimisha kumsapoti Mama Samia kwa sababu tu ya hasira zao walizokuwa nazo kwa Magufuli ila hizo hasira zitakapo kwisha ndio tutarudi kulekule tulipozoea.
 
Ulilotaja hapa kama namba 10, ulitakiwa ulitaje kama namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…