Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
- Thread starter
-
- #21
Unadhani itashindikana?..nadhani hizo amendments ndio zita-set the stage ya kuwa na mazingira rafiki na wezeshi ya kuandika katiba mpya.
..watu wametoka "GEREZANI" muda mfupi uliopita, kuna wengine bado wako "EDA," halafu unataka wakae pamoja waandike katiba mpya?
Kwahiyo hakuna haja ya katiba mpya??? Hizo kelele za wananchi wala zisitushughulishe??Uko sahihi katiba hii inahitaji some amendments baadhi ambazo ni mahitaji ya wakati huu kwa Sasa kama kuhusu tume ya uchaguzi, baadhi ya vitu ambavyo vimepitwa na wakati kwenye katiba yetu.
Good. Naamini haya Mama atayaonaNi kweli Tuendeleee na rasimu ya warioba
Wananchi wanataka katiba mpya. Ni takwa ambalo halipaswi kupuuzwaWhen did she declared to restart the so called "mjadala wa katiba mpya"?
Katiba ni muhimu Ila hata hii ikianza kuboreshwa some part ambavyo ni mahitaji ya Sasa itapendeza, katiba itakayoruhusu matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, kuwa na tume huru isiyoegemea upande wa chama chochote, na hata Raisi kupunguziwa mamlaka ya teuzi kubwa wakurugrnzi mbalimbali ambao mwisho wa siku wanakuja ku save interest za bosi na sio interest za wananchi na katiba.Kwahiyo hakuna haja ya katiba mpya??? Hizo kelele za wananchi wala zisitushughulishe??
Mama afanye tu amendment ya namna ambavyo tutaipata tume ya uchaguzi iliyo huru?
Kwenye hiyo 80% ya wataalamu, nimemaanisha wale wadau waliobobea wa makundi mbalimbali katika jamii! Mfano Wafanyabiashara, Wajasiriamali, Madereva, Wakulima, Wafanyakazi, Walemavu, Diaspora, Wachumi, Viongozi wa dini, Wanahabari, Waajiri, Wamiliki wa Makampuni, Wamiliki wa taasisi za kifedha, nkMchango murua huu.
Hapa nimepata mawazo kama ambavyo natamani iwe. Tuchangie kwa kujibu maswali ya msingi yaliyokuwepo kwenye mada.
Mkuu unasema tuanzie na rasimu ya Jaji Warioba na tuendelee mbele, hakuna haja ya kukusanya maoni mapya. Naamini hii ni ili kuokoa rasilimali muda na rasilimali fedha, au sio?...
Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini hujanjibu swali langu bado.Katiba ni muhimu Ila hata hii ikianza kuboreshwa some part ambavyo ni mahitaji ya Sasa itapendeza, katiba itakayoruhusu matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, kuwa na tume huru isiyoegemea upande wa chama chochote, na hata Raisi kupunguziwa mamlaka ya teuzi kubwa wakurugrnzi mbalimbali ambao mwisho wa siku wanakuja ku save interest za bosi na sio interest za wananchi na katiba. So it's possible to amend some parts of our constitution. Hii tabia ya wakurugenzi kupewa mamlaka ya kumtamganza yoyote ambaye hata hajashinda sio sawa loh.
Sawa mkuu. UmeskikaKwenye hiyo 80% ya wataalamu, nimemaanisha wale wadau waliobobea wa makundi mbalimbali katika jamii! Mfano Wafanyabiashara, Wajasiriamali, Madereva, Wakulima, Wafanyakazi, Walemavu, Diaspora, Wachumi, Viongozi wa dini, Wanahabari, Waajiri, Wamiliki wa Makampuni, Wamiliki wa taasisi za kifedha, nk...
Anaweza kuwa na nia njema shida ni Msoga line, kumbuka mchakato ulivyoanza vizuri na timu ya Jaji Warioba, Msoga line na genge lake wakauharibu dakika za mwisho, kwahiyo hata this time mambo yanaweza kurudi yaleyaleMchakato wa kutunga katiba mpya hugharimu muda mrefu na fedha nyingi mno, inahitaji kuwa ni mkakati wa kitaifa na agenda hiyo ibebwe na serikali kwani budget ya gharama za mchakato huo inabidi iwepo...
Walishakula wakanawa inatakiwa waende wakamalizie pale walipoishia tena bila poshoNyie ndio mnaocheleweshaga mambo. Hivi suala la katiba mpya ni geni nchi hii? Umesahau mpaka posho zaidi ya Tsh.bilioni 400 zimelipwa kwaajili ya kuandaa katiba mpya?
Mkuu, with all due respect naomba nipingane nawe.Anaweza kuwa na nia njema shida ni Msoga line, kumbuka mchakato ulivyoanza vizuri na timu ya Jaji Warioba, Msoga line na genge lake wakauharibu dakika za mwisho, kwahiyo hata this time mambo yanaweza kurudi yaleyale
Inaonekana Watanzania karibu wote tuna msimamo mmoja juu ya kuanza upya au kuendelea na rasimu ya Jaji Warioba. Hili inawezekana lipo clear already.Mimi nakubaliana kabisa na rasimu ya Warioba, na sio lazima tuwe na kundi kubwa la watu hasa wanasiasa, bali tuwe na watu wa makundi yote wasiozidi 100. Jaji Warioba awe ndio kiongozi wa tume hiyo, ashirikiane na Rais kuteua wajumbe, na mimi Tindo wa jf nikiwepo. Kitu pekee kwenye rasimu kinaweza kuondolewa, na ama kuwekwa vizuri ni uwepo wa serikali ngapi ndani ya muungano.
Kwa mara ya kwanza niliona tume iliyofanya kazi kizalendo tena iliyokuwa na wanaccm. Tume ile ya Jaji Warioba ilifanya kazi yake kwa weledi mkubwa, japo iliingiliwa na fitina za wanaccm. Ni bahati mbaya tu JK alikubali kazi ile nzuri ya tume kuharibiwa na itikadi za kisiasa hasa zikiongozwa na chama chake. Makundi yanayopaswa kutoa watu kwenye katiba hiyo.
Majaji 10
Wanajeshi 5
Polisi 2
Askari magereza 2
Uhamiaji 2
Viongozi wa dini 16
Wafugaji 5
Wakulima 5
Wafanyakazi 5
Wafanyabiashara 5
Wanasiasa 20. Uwiano wa vyama.
Viti maalum 30 ambao ni sisi watu wa mitandaoni, na wengine wenye ushawishi kwenye jamii , lakini wenye uelewa mpana wa mambo. Hapo tutapata katiba ya uhakika.
Nipo kiongozi....
Ile ni rasimu tu mkuu, kwanini unaipinga?Kwa hiyo katiba mpya iwe ile ya Jaji Warioba?!!!
Naipinga katiba ile....
Katiba yetu ibaki na JMT yenye serikali mbili tu......
#KaziIendelee
Sawa mkuu wangu nimeridhia unipinge.....πIle ni rasimu tu mkuu, kwanini unaipinga?
Kwa hiyo unapendekeza mama aanze upya?
Mimi napingana na wewe kwenye katiba ya serikali mbili mkuu.
Labaika.....karibu kiongozi tumsaidie mama