Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
- Thread starter
- #21
Unadhani itashindikana?..nadhani hizo amendments ndio zita-set the stage ya kuwa na mazingira rafiki na wezeshi ya kuandika katiba mpya.
..watu wametoka "GEREZANI" muda mfupi uliopita, kuna wengine bado wako "EDA," halafu unataka wakae pamoja waandike katiba mpya?
Bora tutengeneze mapema mazingira ya watu kutopelekwa tena "gerezani" siku za usoni kuliko kuchelewa maana hakuna ajuae kesho yake.