Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.

Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.

Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka waziri asiogope kueleza suala hili kwa wananchi.

"Hapa katikati Tanesco iliharibiwa kwa kusema eti gharama za kuunganisha umeme ziwe sh 27,000/=".

Sasa nawauliza, mnamfahamu aliyetoa wazo hili la kiuharibifu kwa Tanesco?
 
Nani alileta hii sera?
 
Kwa mujibu wa ripoti ni kuwa kwa mwaka 2019/2020 Tanesco ilianza kutengeneza faida kitu ambacho hakikuwah kuwapo huko nyuma! Sijui kama Samia hatorudisha Service Charge's?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.

Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.

Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka waziri asiogope kueleza suala hili kwa wananchi.

"Hapa katikati Tanesco iliharibiwa kwa kusema eti gharama za kuunganisha umeme ziwe sh 27,000/=".

Sasa nawauliza, mnamfahamu aliyetoa wazo hili la kiuharibifu kwa Tanesco?
Dah mbona ITV muda huu wanaonesha Tamthilia?
 
Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.

Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Mkuu mbona umejibu kinyonge sana!?
Kumbe nawe hukuelewa maana ya "CCM inawenyewe"?! [emoji1787]
 
Kwanini asiende kukopa apate za kuunganishia watu umeme?
 
Kuna mtu alisema nchi imechezewa sana😀😀! Uongo kazi sana kuulinda!
 
Back
Top Bottom