AfafhaliAlishasema hataki kuangushiwa jumba bovu
Kwa mujibu wa ripoti ni kuwa kwa mwaka 2019/2020 Tanesco ilianza kutengeneza faida kitu ambacho hakikuwah kuwapo huko nyuma! Sijui kama Samia hatorudisha Service Charge's?Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.
Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.
Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka waziri asiogope kueleza suala hili kwa wananchi.
"Hapa katikati Tanesco iliharibiwa kwa kusema eti gharama za kuunganisha umeme ziwe sh 27,000/=".
Sasa nawauliza, mnamfahamu aliyetoa wazo hili la kiuharibifu kwa Tanesco?
Dah mbona ITV muda huu wanaonesha Tamthilia?Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche.
Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani.
Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka waziri asiogope kueleza suala hili kwa wananchi.
"Hapa katikati Tanesco iliharibiwa kwa kusema eti gharama za kuunganisha umeme ziwe sh 27,000/=".
Sasa nawauliza, mnamfahamu aliyetoa wazo hili la kiuharibifu kwa Tanesco?
Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Katiba mpya ya wananchi ndio dawa ndugu.Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Mwaka huu mmepatikana, angalau mpumzike kusifia sifiaMachinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Mada imechelewa kuruhusiwa na mods kuingia jukwaani mkuu. Hotuba imeishaDah mbona ITV muda huu wanaonesha Tamthilia?
Mkuu mbona umejibu kinyonge sana!?Machinga wanapigwa, bei ya vitu juu, umeme nao kuunganishiwa iwe juu.
Sawa hiyo ndiyo ccm mpya
Hiyo ndio maana ya wanakulitafuta wanakulipata🏃.Ndio ukome kushabikia chama bovu
ATCL, TTCL. Tulipata magawio kutoka mashirika.Kwa mujibu wa ripoti ni kuwa kwa mwaka 2019/2020 Tanesco ilianza kutengeneza faida kitu ambacho hakikuwah kuwapo huko nyuma! Sijui kama Samia hatorudisha Service Charge's?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atajua tu🤔.Mkuu mbona umejibu kinyonge sana!?
Kumbe nawe hukuelewa maana ya "CCM inawenyewe"?! [emoji1787]
Faida au hasara mkuu?2019/2020 Tanesco ilianza kutengeneza faida