Tangu Samia ameshika madaraka maisha ya watanzania walio wengi yamezidi kuwa magumu kuliko wakati wowote huko nyumaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha...
Kwani nyie mnataka uhuru wa aina ganiUhuru wa Vyama vua Upinzani amezidi kuubana.
Uhuru wa kweliKwani nyie mnataka uhuru wa aina gani
Ndio upi
Swali zuri sana,tunataka Uhuru wa kufanya Mikutano ya hadhara tunataka uhuru wa kufanya Makongamano ya Katiba Mpya.Kwani nyie mnataka uhuru wa aina gani
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuitetea Serikali hii ya Wala rushwa dhidi ya kudorora kwa Umeme pamoja na maji.Ndio upi
Tunaenda vizuriRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha.
Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini kutoka 28.6 mwaka 2015 hadi 26.2 mwaka 2020. Tumeweza kuingia Uchumi wa Kati Julai mwaka jana"
Amesema hayo katika Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha Nchini.
View attachment 2023075
View attachment 2023076
View attachment 2023077