Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi.

Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza kwa amani na utulivu Afrika, hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha hali hiyo inaendelea kudumu.


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa sababu familia ake inalindwa hakuna anayewezatekwa wala kuuawa, familia za akina Mdude, Kibao n.k kibao utawaambia kuna amani wapendwa wao wametekwa na kuuawa? hovyo kabisa
 
Kikwete alikuwepo kama.nani hapo?
 
Kuhusu ya Kwanza sina Uhakika..., ila hata Imani na Utulivu uliopo inabidi tujiulize thanks to who ?!!!
  • Politicians (Jibu ni hapana they are the ones causing mayhem in one way or the other
  • Watu Baki / Wananchi ? Jibu ni Yes kwahio hao waliopo kwenye madaraka waangalie in one way or the other wasipoteze hii TUNU
jamiiforums.com/threads/tumepoteza-tunu-ya-kuaminiana-tunahitaji-kuirudisha.2254637/
 
Na ni nchi ya mwisho duniani

Kwa kukosa haki pamoja na

Kwa kuwa na Rais kilaza ..
 
Nchi yenye amani ni inayeheshmu sheria.km yy anasema katiba ni kitabu tu ana maana anaongoza kidekiteta
 
Amani ya mdude kutekwa? Lissu kusekwa ndani? Amani ya kuumiza wanaokukosoa?
 
Inawezekana nimesoma neno kwa kuanzia kulia kwenda kushoto au vibaya.Ni nchi Ina AMANI au nchi Ina INAMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…