K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Sep 11, 2022 #41 Ujanja upo kwenye kubuni TOZO!
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Sep 11, 2022 #42 BICHWA KOMWEE said: MANENO MATUPU KUTOKA KWA MBIBI GOIGOI ASIYEJUA CHA KUFANYA. Click to expand... Uwe na adabu na heshima kwa mh Rais wetu, hakika inaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa malezi kutoka kwa wazazi wako
BICHWA KOMWEE said: MANENO MATUPU KUTOKA KWA MBIBI GOIGOI ASIYEJUA CHA KUFANYA. Click to expand... Uwe na adabu na heshima kwa mh Rais wetu, hakika inaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa malezi kutoka kwa wazazi wako
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Sep 11, 2022 #43 Smart911 said: Tuna wasomi wengi wa madini kwa nini wasiyape majina na thamani hayo madini... Click to expand... Ndio ushangae sasa bruh Wanajua kujipa majina ya barabara tu 😄
Smart911 said: Tuna wasomi wengi wa madini kwa nini wasiyape majina na thamani hayo madini... Click to expand... Ndio ushangae sasa bruh Wanajua kujipa majina ya barabara tu 😄