Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Una mahaba na corona si ya nchi hiiMlimjaza sifa za kijinga kama hizi akaacha kuchukuwa tahadhari korona ikampeleka. Kafa kijinga kwa sabb alikuwa mjinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mahaba na corona si ya nchi hiiMlimjaza sifa za kijinga kama hizi akaacha kuchukuwa tahadhari korona ikampeleka. Kafa kijinga kwa sabb alikuwa mjinga.
Nani Maalim seif?Mlimjaza sifa za kijinga kama hizi akaacha kuchukuwa tahadhari korona ikampeleka. Kafa kijinga kwa sabb alikuwa mjinga.
Hebu jaribu hata kidogo kuficha upumbavu wako, unataka hadi wewe uugue au umzike mkeo kwa Corona ndo ujue ipo?Hilo wimbi la tatu liko kwenye magazeti na televisheni, lakini huku mtaani hakuna cha wimbi wala bibi yake na wimbi.
Hizo fedha za wazungu mlizokula hakika mtazitapika majizi nyinyi. Maana hamuishi kuweweseka na makorona kama visungura tope.
Huku Buzza kwanza hatujui hata maana ya corona. Tunaisikiaga tu kwenye mitandao na majarida.
Kwendeni huko na mabarakoa yenu uchwara!
Matapeli wakubwa!
Yule ndio amefanya watu wasiwe waoga wa corona......Ni vizuri Mama anatuambia ukweli,Yule mwingine ilikuwa anakimbilia kujifungia kwao halafu anakwambia Corona ilishafukuzwa nchini
Mkuu Kuna Jambo nimetoka kupost muda si mrefu. Mama Samia anasema corona ipo na tuchukue tahadhari ila jana yeye kapiga simu na kumpongeza nandy akiwa live jukwaani kwenye Nandy festival. Watu walikuwa wengi wamebanana hatari hakuna cha barakoa wala nini. Nilitegemea angechukizwa na hiko kitendo na kuwawajibishwa walioruhusu hiyo show kwenye kipindi Kama hiki wimbi la tatuHebu jaribu hata kidogo kuficha upumbavu wako, unataka hadi wewe uugue au umzike mkeo kwa Corona ndo ujue ipo?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Huyo ndio alikuwa mwoga wa kwanza wa huu ugonjwa,japo mdomoni alijifanya hauogopiYule ndio amefanya watu wasiwe waoga wa corona......
sema akili fupi kama yako huwezi elewa
Kumbe. Kwa hiyo TZ nchi ya pekee yenye imani katika Mungu?? Au Mungu amesahau kidogo hivyo siku hizi anaelewa Kiswahili pekee?? Kama ni hivyo: kwa nini Wakenya (walioomba kwa Kiswahili wasiangamizwe Corona) walianza kufa? Au je Mungu amebadilisha mfumo wa kupokea maombi hasikii tena kama hayaletwi na mkuu wa nchi??JPM was right. Ni ninyi wenye akili finyu hamkuwa mnamwelewa yule shujaa. Alikuwa mtu aliyejaa Iman kwa Mungu muumba ambaye hashindwi chochote. Corona ni nini mbele zake?.
m napenda kuona koment za watu wenye msimamo kama ninyi, sio yale majinga yanakubar kila kitu, mm hata kwenye page ya rais samia huko twitter huwez kuta nasifia upumbv, bali uwaga natoa facts zenye msimamo ambapo kama rais angekuwa anazisoma basi yale mambo yote wanayo yatenda yakipuuz wangeachnan nayoHilo wimbi la tatu liko kwenye magazeti na televisheni, lakini huku mtaani hakuna cha wimbi wala bibi yake na wimbi.
Hizo fedha za wazungu mlizokula hakika mtazitapika majizi nyinyi. Maana hamuishi kuweweseka na makorona kama visungura tope.
Huku Buzza kwanza hatujui hata maana ya corona. Tunaisikiaga tu kwenye mitandao na majarida.
Kwendeni huko na mabarakoa yenu uchwara!
Matapeli wakubwa!
Kaka kama ni imani yako, basi iwe hivyo. Menginevyo hakuna dalili kwamba siku hizi ni mbaya kuliko nyakati za nyuma. Nikifungua macho naona mengi ya kinyume. Njaa imepungua kote duniani. Watu wanafikia umri mkubwa, idadi ya watoto wadogo wanaokufa imepungua sana shauri za chanjo. Naona baraka nyingi, pamoja na changamoto mpya, kama uharibifu wa mazingira asilia na machafuko ya hewa.TUNAWAMBIA KILA SIKU,nyakat zimekwisha, muda wa dunia umefika mwsho, tuko ktk nyakat mbaya na zakutisha kulko nyakat zozote tangu dunia iumbwe, kwa bahat mbaya kuna mambo tuliyofundishwa kuwa kwel kumbe ni ya uongo, tunaish ktk uongo, tunakula uongo, tunajifunza uongo, tunaabudu uongo, na kupewa tawala znazotawala kwa uongo kupitia baba yao wa uongo ibilisi, hii dunia kwa ilpofika ni lazma wakuu wa nchi wafanye juu chin kutimiza kwa haraka zile ajenda za kuifanya dunia chini ya mamlaka moja, and soon yataibuka mambo mazito na yakutisha ambayo hata wale wanaopenda kutupinga wasomi, na kukutukana watatuamn, unafika ule muda ambao viongoz wetu tunaowaamn watashirikiana kutuzamisha ktk kiza kinene uki wao wakineemeka na uongo wa yule bwana mkubwa wa uzunguni,,,tulipo ni pabaya na tunakoelekea ni afadhar wale waliokufa kulko ssi ambao tuko hai maana kuna majanga yatakayoikumba hii dunia na kwa akili za wabongo kuyamudu si rahis, viongoz wetu wa dini wanatusariti na wataendelea kutusariti, na ipo siku wataungana viongoz wote wa dini wataunganish dola ya serkali na dini vi operate pamoja kuwashinikiza raia kufanya kile serkal inataka,.na ndipo tulpo sasa, na ndpo dunia ilipo sasa, siongei haya mambo kwa kubahatisha ama kiuchochezi, bal ni ukwel harisi ambao lazma utokee na unatokea, wale wabishi na wanaopenda kunitukana freshi tu ipo siku mtaelewa nn kipo nyuma ya pazia ktk hiz serkal zetu znazotupofusha kwa makusudi...
Nani anasema lockdown? Watu wasipotenda kipumbavu hakuna haja katika mazingira ya hapa; kwa hiyo wakivaa barakoa, wakiepukana kubanana kwa kukaa karibu mno, pia kutunza usafi wa mikono - tayari athira inapungua sana. Kwa bahati nzuri watu wengi Dar es Salaam hawaishi katika nyumba penye madirisha ya kufunga kabisa, hivyo mabadiliko ya hewa yapo muda wote hali inayopunguza maambukizi.Mama anafeli sana, anyway, zigo ni lake, akisema tusiende kazini sisi poa, lockdown itakua ya kutokwenda kazini tu maana mitaani nina uhakika uswahilini maisha yataendelea, itakua likizo kwetu ya kazini.
Mbona mmeo hajafa?Hebu jaribu hata kidogo kuficha upumbavu wako, unataka hadi wewe uugue au umzike mkeo kwa Corona ndo ujue ipo?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hakika. Watu wanadunda tu mitaani bila hofu wala mabarakoa kwa sababu Magufuli aliwafungua akili.Yule ndio amefanya watu wasiwe waoga wa corona......
sema akili fupi kama yako huwezi elewa
Acha maneno maneno wewe!Ni ajabu jinsi mtu anaweza kutumia mitambo ya kisasa na kuwa na akili zama za mawe. Huoni Covid mtaani? Sawa. Umeona malaria mtaani? Hapana? Asante, kumbe ni utapeli pia?
Usukari unasemekana unaua watu, lakini hujaona mtaan? Kumbe utapeli bila shaka.
Pia "elimu" hiyo ambayo wanafundisha kuhusu bakteria na virusi. Utapeli tena, maana sijawahi kuona bakteria mtaani.
Asante kaka kwa kutufundisha mantiki!!!
Dah... Xaxa hii ni atareee xana xana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Hili la mama kwenda hospital bila ya interijensia yake kumpa full coverage ya eneo husika naona ni mazingaombwe tu.
Hivi ni kweli mama alikuwa hana taarifa za kina juu ya hospital hiyo kabla ya kwenda?
Eti nae anafika ndio anashtukizwa wagonjwa wa corona wapo. Ngoja nichekeko hahahaha
Kwa hiyo wewe umeona sehemu za kusitisha mikusanyiko ni Makanisa tu? Pumbavu kweli.Moja ya tahadhari ni kupunguza au kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima!
Sasa yeye badala ya kuonyesha mfano kwa vitendo, anaenda kukusanyika na hao mapadri! Tena wamekusanyika ndani ya jengo. Siyo nje kwenye hewa inayozunguka vizuri.
Halafu kuna kwaya ilikuwa inaimba. Unapoimba huwa kuna vichembe chembe vya mate vinavyoruka. Na kama upo karibu na wengine, vinaweza kuwadondokea hao watu kirahisi sana.
Hayupo serious huyo mama. Anatoa tu maneno ya kuwafurahisha baadhi ya watu lakini vitendo vyake havionyeshi kama yuko serious.
Marekani huko shughuli za kikanisa zilisitishwa kabisa na watu wakawa wanasali kupitia mitandao, Zoom, YouTube, Facebook, nk.
Punguza jazba. Kwanza ugonjwa huo haupo magazetini. Umo mwilini mwa watu. Umeshaua wengi. Rais alitembelea hospitali ambako daktari alimwonyesha wagonjwa wa Covid.Acha maneno maneno wewe!
Hizi janja janja za kitapeli tumeshazibaini.
Haiwezekani ugonjwa uwe kwenye matelevisheni tu na magazeti.
Janja janja za kitapeli hazina nafasi kwa sasa.
Hayo machanjo yenye sumu mkajidunge na baba zenu. Never ever ever.
Na msijaribu!
Kwamba Rais hakuwa na taarifa kwamba kuna wagonjwa wa corona pale hospitalini kabla hata ya kwenda ila amekuja kujua baada ya kwenda mwenyewe? yeye kaambiwa ni wagonjwa wenye matatizo ya kupumua ila yeye anasema covid na ndio akajibiwa hivyo hivyo covid, sasa sijui matatizo kupumua yote ni covid tu.Punguza jazba. Kwanza ugonjwa huo haupo magazetini. Umo mwilini mwa watu. Umeshaua wengi. Rais alitembelea hospitali ambako daktari alimwonyesha wagonjwa wa Covid.
Hayo machanjo yameanza kuokoa maisha ya watu wengi. Katika nchi nyingi wanafanya juhudi kubwa kuwafikia watu wengi iwezekanavyo, tena kwa gharama kubwa.
Unaamini kweli dunia inajaa wajinga? Au wanacheza tu?
Pale ambako wengi wameshapata chanjo, maambukizi yamepungua tayari.
Binafsi nashukuru nimeweza kupata chanjo nilipotembelea nchi jirani.
Hiyo lugha ya chanjo sumu ni kitoto. Amka, kaka, washa bongo.
Moja ya tahadhari ni kupunguza au kuacha mikusanyiko isiyo ya lazima!
Sasa yeye badala ya kuonyesha mfano kwa vitendo, anaenda kukusanyika na hao mapadri! Tena wamekusanyika ndani ya jengo. Siyo nje kwenye hewa inayozunguka vizuri.
Halafu kuna kwaya ilikuwa inaimba. Unapoimba huwa kuna vichembe chembe vya mate vinavyoruka. Na kama upo karibu na wengine, vinaweza kuwadondokea hao watu kirahisi sana.
Hayupo serious huyo mama. Anatoa tu maneno ya kuwafurahisha baadhi ya watu lakini vitendo vyake havionyeshi kama yuko serious.
Marekani huko shughuli za kikanisa zilisitishwa kabisa na watu wakawa wanasali kupitia mitandao, Zoom, YouTube, Facebook, nk.