Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za machawa zitasaidia au anajihatarisha kukutwa na nuksi ya mwenda zake?
Ushauri Mama tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki. Mengine mwachie Mungu lakini kwa yanayoendelea ukiondoka leo kuna watakao furahia na kufikiri ni nuksi ya walitekwa, kufugwa, kuibiwa kura na kunyanyashwa na serikali yako.
A bold statement, be blessed man of God, Mh TLMANENO YA MH MWENYEKITI TAIFA CHADEMA TUNDU A LISSU AKIWA GEREZA LA KEKO
“Kaka, Kama Kuniweka Korokoroni Wanadhani Ni Kunilegeza Ili Niwalambe Miguu Na Kuwapigia Magoti,,, Waandae Tu Kamba Ya Kuninyongea Hadi Kufa,,,Niko Tayari,,,Haya Mashitaka Ya Bure Hayawezi Kunirudisha Nyuma And After All Hata Waoga Na Watesi Hawataishi Miaka 200. Nitakuwa Nimetangulia Tu Katika Njia Ya Wote"View attachment 3307629
Hizi hustle si za bure aisee😅😅
Huyo SSH ana amini sheria HAZINA maana. Kumbuka Katiba alisemaga ni kijitabuKwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za machawa zitasaidia au anajihatarisha kukutwa na nuksi ya mwenda zake?
Ushauri Mama tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki. Mengine mwachie Mungu lakini kwa yanayoendelea ukiondoka leo kuna watakao furahia na kufikiri ni nuksi ya walitekwa, kufugwa, kuibiwa kura na kunyanyaswa na serikali yako.