Rais Samia tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki

Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za machawa zitasaidia au anajihatarisha kukutwa na nuksi ya mwenda zake?

Ushauri Mama tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki. Mengine mwachie Mungu lakini kwa yanayoendelea ukiondoka leo kuna watakao furahia na kufikiri ni nuksi ya walitekwa, kufugwa, kuibiwa kura na kunyanyaswa na serikali yako.
We ni wa kumshauri Rais? Rais ana washauri wengi wenye uwezo we kashauri hao nyumbu wako zero brain
 
Huu ni ukweli.
Kwa sisi tunaompenda, akumbuke kuna maisha ya duniani na ya baadaye.
Yeye anayo mamlaka ya kutuachia Katiba mpya bora, ikijumuisha pia tume huru ya uchaguzi.
Mungu ibariki Tanzania.
Mbingu zinaongea, Dunia inaongea.

Mwenye maskio na asikie
 
Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za machawa zitasaidia au anajihatarisha kukutwa na nuksi ya mwenda zake?

Ushauri Mama tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki. Mengine mwachie Mungu lakini kwa yanayoendelea ukiondoka leo kuna watakao furahia na kufikiri ni nuksi ya walitekwa, kufugwa, kuibiwa kura na kunyanyaswa na serikali yako.
Mnataka Mh.Rais aingilie mahakama?
 
Nakubaliana nawe kwa nguvu zote, tena bila kusita hata kidogo.

Ukweli mchungu ni huu: Dhuluma haibadiliki kuwa haki kwa sababu imevalishwa sura ya upole au tabasamu la kisiasa. Kama Mama Samia anaamua kuendeleza yale yale ambayo yalifanya taifa letu liwe gizani—kuteka watu, kuwafunga wapinzani, kuiba kura, na kubinya uhuru wa maoni—basi hatutofautisha uongozi wake na ule wa aliyemtangulia.

Wale waliomwomba Mungu walipoona maovu ya awali walitarajia mabadiliko, si mwendelezo wa unafiki wa kisiasa unaofichwa kwa jina la "ustaarabu". Haki haitendeki kwa kumsujudia mtesaji, wala nchi haiwezi kusafishwa kwa sala peke yake ilhali maovu yanarudiwa kwa mikono ile ile ya dola.

Mama Samia, huu ni wakati wa kufanya uamuzi wa kihistoria: ama uwe sehemu ya suluhisho, au uandikwe kwenye orodha ya tatizo.
Tenda haki, simama na ukweli, acha kuwabeba wanaoendeleza ukatili, na jenge taasisi imara zitakazolinda uhuru na heshima ya kila Mtanzania.

Kama kweli una hofu ya Mungu, basi haki ndiyo ibada kuu. Vinginevyo, historia haitakusamehe. Na wala Watanzania hawatasahau.

#TendaHakiMama
#UkweliHauzeeki
#NchiNiYetuSote
#TanzaniaMpya
#JengahistoriaMama
#TupefurahasoteCDMCCM
 
Ushauri Mama tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki. Mengine mwachie Mungu lakini kwa yanayoendelea ukiondoka leo kuna watakao furahia na kufikiri ni nuksi ya walitekwa, kufugwa, kuibiwa kura na kunyanyaswa na serikali yako.
Ushauri mujarab sana, kama mimi ndiye ningekuwa Mama Samia ningekufanya kuwa mshauri wangu halafu nikayafukuza yale yanayotoa ushauri wa Kichawa.
 
Back
Top Bottom