balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Kiukweli mfano mdogo ni Maafisa Elimu Kata. Hawa watu wana mawanda mabana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali
Uzoefu wao ni adimu sana na wanalijua namna ya kusimamia hasa miradi
Tatizo lauafisa Elimu Kata ni kukosekana kwa magodfather na watu watu wa kuwasemeasemea
Lakini serikali ikiwa makini Maafisa Elimu Kata ni recruiting post yoyote ya halmashauri
Hawa viongozi wana uwanda mpana kwenye maongozi, usimamizi wa miradi, nidhamu zilizotukuka kwenye utumishi wa Umma na uwezo Mkubwa wa kushawishi wananchi kwenye maendeleo