Kwangu Sio hao tu, wako watumishi wa umma wengi wenye uwezo wa kuwa wakurugenzi kuliko wanasiasa walioshindwa ubunge kura za maoniKiukweli mfano mdogo ni Maafisa Elimu Kata. Hawa watu wana mawanda mabana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali
Uzoefu wao ni adimu sana na wanalijua namna ya kusimamia hasa miradi
Tatizo lauafisa Elimu Kata ni kukosekana kwa magodfather na watu watu wa kuwasemeasemea
Lakini serikali ikiwa makini Maafisa Elimu Kata ni recruiting post yoyote ya halmashauri
Hawa viongozi wana uwanda mpana kwenye maongozi, usimamizi wa miradi, nidhamu zilizotukuka kwenye utumishi wa Umma na uwezo Mkubwa wa kushawishi wananchi kwenye maendeleo
Yaani unakutana na mtu anakutajia kamati yote na amekutana naoBila kurekebisha utumishi wa umma tutachelewa Sana, wako watu wako busy kuloby nafasi za uteuzi kwenye kamati za vetting
Tena atawateua kwa kuanzia wamama waliotia Nia ubunge na kukosa ubunge.Obvious ni makada wa CCM
Kule kwa January makambaWataje waliokwamisha fomu za wagombea ili mkeka usitoke kabla yakuwasukumia.
Mimi namkumbuka was Morogoro tayari ametumbuliwa.
Taja halmashauri zingine.
Mkuu naweza kubaliana na wewe kipindi ichi Cha teuzi watu hawalali, ila pia ni kipindi Cha watu kupiga na kupigwa pesa , msione mikeka inakuja na majina ya watu ,watu hubambana haswa ili kupata valid connectionWamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki.
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Naunga mkono hoja. Nafikiri Sifa za Mtumishi kuwa MKURUGENZI WA HALMASHAURI NI LAZIMA AWE NA
1. ELIMU YA SHAHADA NA KUENDELEA
2. UZOEFU WA KAZI KATIKA NAFASI YA JUU (SENIOR POST) KWA MIAKA ISIYOPUNGUA 12. yaani toka aajiriwe km Afisa awe amefanya kazi kwa muda huo, hivyo lazima atakuwa na Cheo cha Afisa Mwandamizi Mkuu I au ii. Yaani ofisini tayari atakuwa Boss hivi wa Idara au kitengo. Au tayari ana heshima zake hapo. Ndio waliteuliwa kuwa Wakurugenzi na wengine MA-DAS pia. Pabakuwa hakuna lawama zozote.
Kitenfo kuteua kwa kigezo cha Chama tunaharibu mfumo kabisaaaaa. Ndio maana kwa CCM imejaa wanachama wenye malengo ya kunuifaika tu badala ya kukipenda Chama.
Mama taf aturejeshe kwenye utaratibu.
Upo sahihi.Naunga mkono hoja. Nafikiri Sifa za Mtumishi kuwa MKURUGENZI WA HALMASHAURI NI LAZIMA AWE NA