Rais Samia toa kauli zenye nguvu na zilizo bayana

Tatizo mama anatumika kama remote control shida ipo kwa walioshika remote
 
Tatizo lililopo hapa ni trade-off kati ya kitendo cha Machinga kufanya biashara mbele ya maduka ya wafanya biashara wakubwa na kodi ya Serikali kwa sababu machninga huwa hawalipi kodi. Hicho ndicho kilichomsukauma Mh Rais kuongelea swala hili. Naomba tu isiwe kwamba kumefanyika utaratibu "mwingine mpya" wa makusudi wa kuwasogeza watu hawa karibu na maduka makubwa, tofauti na ilivyokuwa kipindi cha Hayati JPM. Kwa sababu kama watu hawa hawajabadilisha sehemu za biashara zao walizokuwa wanafanyia awali, kwa nini tatizo litokee sasa hivi? Unless labda kama kuungua kwa soko la Kariakoo kuwe kumechangia kwenye re-allocation yao hiyo
 
Njooni na utatuzi wa kudumu ikiwa mnaona machinga hawachangii pato la taifa. Sio hizo ngonjera za majukwaani. Ukitaka kuona nguvu ya machinga, watimueni. Mimi nasubiri kuona hizo siku saba mlizotoa.
Watatimuliwa tuu kwani itakuwa mara ya kwanza? Nguvu gani ambayo huwa unaziona wewe tuu?
 
Mi naon huyu mtengeneza filamu yetu ya kitalii amalize aondoke aseee asijejikuta anagundua kivutio kingine cha utalii ambacho ni kiumbe cha pekee dunia chenye mwili kama wa binadam kinachopatikana tanzani ambacho kinaitwa MTANZANIA. Kwani ndio binadam wa kwanza asiejua hata yeye anataka niniโ˜ป

Alikiwepo mwenye msimamo na asie na huruma hatukumuelewa
Amekuja mwenye huruma na matumzi ya lugha nyepesi napo hatumuelewi

Aseee
 
..... kwa bahati mbaya wewe hauko kwenye hiyo nafasi. Hiyo ngekewa ilimuangukia yeye na hayo ndio madhaifu yake.

Hawezi kuwa strong kihivyo kwa hiyo kada kwa maana anaona ni watu muhimu kwenye mchakato wa uchaguzi kwani kwa sasa bado hawajui mazingira ya uchaguzi 2025 yatakuwaje kama yataruhusu uhuni kwa mara nyingine au la.
 
Well said na huo ndio ukweli, hizi kauli za nataka sitaki na kukwepa lawama na kuwatetea watendaji kwamba "hoi mimi sikusema hivyo"!!! Hazifai
 
Hao unaowasema waliongoza kwa kufuata misingi ya sheria na katiba ya nchi au waliongoza kwa utashi na hisia binafsi.Ukishaweka utashi binafsi kwenye uongozi badala ya sheria na taratibu zilizoko lazima mambo yaende ndivyo sivyo.
 
Mnataka afoke foke kama yule kichaa aliyekuwa mtaani kwenu.
 
Wewe unadhani ajui kuhusu hizo kauli zake ? Hiyo ndiyo mafisadi walio kubuu wanavyo fanya awatoi kauli madhubuti sababu wao wenyewe ni wanafiki wanaogopa kujifunga kwa kauli zao maana mafisadi siku zote awapendi kujibana kwa maneno ya vinywa vyao wewe ukujifunza kwa kikwete ambaye ndiyo kielelezo cha ufisadi hapa tanzania
 
Ujui tabia za mafisadi ,tabia moja ya fisadi ni kutoeleweka hiyo ndiyo tofauti ya wazarendo na mafisadi
Mzarendo anakuwa anapenda kueleweka wakati fisadi hapendi kueleweka kwa sababu fisadi hayaishi maneno yake tofauti na mzarendo
 
"Nendeni mkatekeleze yale mlyosema" [emoji849]
 
Lana ya swala LA

Mbowe elikael freeman
na
Katiba mpya litawatafuna mpka siku kinaeleweka au wanajitambua

Labda wawe wanatengeneza mazingira ya kutaftia kura wanaliazisha mwisho utasikia tumeona huruma jamani

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Na nyie muache kuwa kinyonge, kwanini msinyooke kwamba hana uwezo na hajiamini kiutendaji "failure" badala yake mnazungukazunguka tu. Ww unasemaje miezi 6 ulikuwa probation, miezi yote upo upo tu ikulu? This is massive failure na hawezi kudeliver mnavyotaka
 
wewe siyo Samia na wla Samia si wewe
 
 
Unadhani yeye na chama chake hawapendi kura za machinga? Lazima waache kauli zinaelea hewani ili kesho likibuma wapate upenyo wa kutokea.
Tangu lini ccm wanategemea kura zilizopigwa na wananchi?!!tena wamachinga?!!unatania wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ