Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Ahlan wa Sahlan
Je, huu sio muda sahihi kwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoa mwaliko kwa mabingwa wa soka nchini Tanzania, Simba sportive de club kujumuika nae katika Iftar ndani ya Ikulu hapo Dar es Salaam.
Heshima ambayo Klabu ya simba imeipagia na inazidi kuipatia nchi ya Tanzania kitaifa na kimataifa haielezeki!! Itahitaji zaidi ya mwaka mzima kuanza kuelezea mafanikio ya simba kimataifa.
Nembo ya visit Tanzania inazidi kupepea kimataifa. Simba imeuheshimisha uwanja (Estadio) de mkapa (aka lupaso) kuwa ni kaburi kwa kila hasimu wa Simba kimataifa.
Kwa taarifa za ndani kabisa kutoka ofisi ya takwimu katika CAF, pale Cairo inasema mechi ya Simba dhidi ya USGN imefatiliwa na zaidi ya watu bilioni 2 hapa duniani. Theluthi ya binadamu wote hapa ulimwenguni walikuwa macho kuitazama simba ikifanya maajabu yake hapo kwa Mkapa.