Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

Tatizo hata hizo wi-fi zao zikisumbua hawaji kurekebisha kwa wakati.nazo zinahitaji Raisi awaambie waende kwa mteja akafanyiwe marekebisho?
 
Serikali hailipi mishahara ya wafanyakazi wa TTCL, wanajilipa wenyewe
 
Kwenye kuleta huduma ya Fiber to home hawakujipanga, wamejikuta demand imekuwa kubwa kuliko wanachoweza ku deliver, matokeo yake wameleta chaos
 
Kwenye kuleta huduma ya Fiber to home hawakujipanga, wamejikuta demand imekuwa kubwa kuliko wanachoweza ku deliver, matokeo yake wameleta chao
Wabadilike waagize mzigo mwingi waendelee kutoa huduma
 
Niliunganishiwa nimetumia wiki mbili ikakata ghafla. Wanakuja wanaset hiki mara hiki hakuna kitu. Hadi tarehe imefika holla. Saizi wananipigia wananikumbusha kulipia. Nimewajibu mngekuwa nyinyi mngeweza kulipia kitu usichotumia?!
Weka kabisha Number yako hapa ili wahusika watoe majibu. Maana wana utaratibu wa compasation kama hukupata huduma uliyotarajia kutokana na ubovu wa kifaa au connectivity.
 
Mashirika ya umma ni mzigo mkuu, na sio mashirika tu mzigo mkuu ni serikali "ccm"
 
Kwenye kuleta huduma ya Fiber to home hawakujipanga, wamejikuta demand imekuwa kubwa kuliko wanachoweza ku deliver, matokeo yake wameleta chaos
Mkuu kwamba kila kitu hawajipangi? hao waliopo ofisini wanafanya kazi gani sasa, ni usimamizi mbovu tu wa utendaji kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…