Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hata hizo wi-fi zao zikisumbua hawaji kurekebisha kwa wakati.nazo zinahitaji Raisi awaambie waende kwa mteja akafanyiwe marekebisho?Kiukweli taasisi zote za umma ziko hivyo lakini naona kama TTCL siku hizi wafanya kazi wakipata hayo mafaiba tifauti za zamani,mimi namshauri mama awape uwezo wa kua n hizo faiba then tuwalaumu kama shurika halina uwezo wa kupata mafaiba mengi kwa pamoja wao wafanye nini wafanyakazi.
Shida tunaangalia upende .mmoja bila kujua uoande mwingine wa shilingi kukoje ndo tulaaum hivyo
Serikali hailipi mishahara ya wafanyakazi wa TTCL, wanajilipa wenyeweMfumo uliopo TTCL ndiyo upo kwenye mashirika yote ya umma.
Shirika linapokea ruzuku kutoka serikalini unategemea shirika hilo liendelee?
Wafanyakazi wa TTCL wanalipwa mishahara na serikali km wafanyakazi wengine na siyo mapato ya shirika la TTCL. Hawalipi na TTCL
Kubadilika TTCL hiyo haipo hapo kinaitakiwa Serikali ijitenge na TTCL yaani isitoe ruzuku
Wafanyakazi wote wa TTCL walipwe kutokana na mapato ya TTCL hapo shirika litabadilika.
Tofauti na hapo sahau. Mwenyewe laini za TTCL nilifuatilia miezi 3 laini hakuna mpk nikachoka. Sikwenda tens
Uzembe unaanzia kwakwe kwa nape katibu mkuu na shurika lenyeweWabadilike waagize mzigo mwingi waendelee kutoa huduma
Weka kabisha Number yako hapa ili wahusika watoe majibu. Maana wana utaratibu wa compasation kama hukupata huduma uliyotarajia kutokana na ubovu wa kifaa au connectivity.Niliunganishiwa nimetumia wiki mbili ikakata ghafla. Wanakuja wanaset hiki mara hiki hakuna kitu. Hadi tarehe imefika holla. Saizi wananipigia wananikumbusha kulipia. Nimewajibu mngekuwa nyinyi mngeweza kulipia kitu usichotumia?!
Mashirika ya umma ni mzigo mkuu, na sio mashirika tu mzigo mkuu ni serikali "ccm"Kiukweli taasisi zote za umma ziko hivyo lakini naona kama TTCL siku hizi wafanya kazi wakipata hayo mafaiba tifauti za zamani,mimi namshauri mama awape uwezo wa kua n hizo faiba then tuwalaumu kama shurika halina uwezo wa kupata mafaiba mengi kwa pamoja wao wafanye nini wafanyakazi.
Shida tunaangalia upende .mmoja bila kujua uoande mwingine wa shilingi kukoje ndo tulaaum hivyo
Mkuu kwamba kila kitu hawajipangi? hao waliopo ofisini wanafanya kazi gani sasa, ni usimamizi mbovu tu wa utendaji kaziKwenye kuleta huduma ya Fiber to home hawakujipanga, wamejikuta demand imekuwa kubwa kuliko wanachoweza ku deliver, matokeo yake wameleta chaos