Rais Samia: TUCTA hawakuja na madai mapya. Kadri uchumi wetu unavyoimarika, tutaendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wetu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali walimpa pole kwani nchi imetoka kwenye uchaguzi na gharama kubwa zimetumika kufanikisha uchaguzi huo.

Sababu nyingine ni mabadiliko ya kisiasa na chumi ambazo pia zimeathiri uchumi wa nchi

Ameongeza kuwa nchi imepata uharibifu mkubwa wa mali uliotokana na vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, lakini pia miundombinu kutokana na mvua kubwa nchini hivyo hela inayopatikana inapelekwa katika kurekebisha miundombinu

Sababu nyingine ni kulipa kwanza madeni ya wafanyakazi, wakandarasi ili tunapoanza utekelezaji wa dira mpya tuanze tukiwa na mwelekeo mzuri unaoeleweka.

Pia soma: Rais Mwinyi aongeza kima cha chini cha mshahara kutoka 300,000 kwenda 500,000
 
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
 
Screenshot_20260427-082911~2.png
 
NIMESHANGAA SANA,KWAMBA WATUMISHI HATUNA CHANGAMOTO KABISA?!!
pia nimeona watumishi wa umma walionyongea sana toka mwanzo hadi mwisho wa sherehe!
 
Dalili zilionekana tangu awali kwamba kusingekuwa na nyongeza kwenye maslahi ya watumishi kwa mwaka huu, kutokana na;
1. Athari za Vita ya Israel na Irani
2. Uchaguzi wa mwaka Jana 2025

Kwasisi wasoma alama za nyakati, kutakuwa na maboresho ya maslahi mwaka 2029

Hapa katikati ni kuishi kwa matumaini tu
 
Hela zote kazikomba ndiyo maana amesema hakutakuwa na maboresho pamoja na kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani kwa wafanyakazi wake kulipwa pesa kiduchu
 
View attachment 3582398

Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali walimpa pole kwani nchi imetoka kwenye uchaguzi na gharama kubwa zimetumika kufanikisha uchaguzi huo.

Sababu nyingine ni mabadiliko ya kisiasa na chumi ambazo pia zimeathiri uchumi wa nchi

Ameongeza kuwa nchi imepata uharibifu mkubwa wa mali uliotokana na vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, lakini pia miundombinu kutokana na mvua kubwa nchini hivyo hela inayopatikana inapelekwa katika kurekebisha miundombinu

Sababu nyingine ni kulipa kwanza madeni ya wafanyakazi, wakandarasi ili tunapoanza utekelezaji wa dira mpya tuanze tukiwa na mwelekeo mzuri unaoeleweka.
Hao TUCTA nao ni vibaraka tu wa huyo muuaji.
 
Back
Top Bottom