Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
AMINAMungu yupo pamoja na LISU...aendelee kumtumaini na kumtegemea Mungu tu,yule yule Mumgu aliyemuomoa na marisasi ,ndiye Mungu yuleyule aliyemuokoa DAUDI na simba na dubu na ndiye Mungu huyohuyo anayewaokoa wanadamu na MAGOLIATH wanaofikiri wana NGUVU KULIKO MUNGU.
well done Dr. Samia Suluhu Hassan,
Mwenzenu yupi Yuda amaπ
Leo majira ya mchana maamuzi ya maombi ya marejeo ( Revision) yaliyofunguliwa na DPP dhidi ya Tundu Antipas Lissu, katika mahakama ya rufaa yamesoma na Lissu ameshinda.
Sasa ni mawili; turudi mahakama kuu kuendelea na tulipoishia kwenye kesi ya uhaini, au waifute na kumwachia huru Tundu Antipas Lissu.
Kumbuka hata tukirudi na kuendelea na kesi hii ya uhaini mahakam kuu lakini ushahidi wake muhimu ulishakataliwa na mahakama.
Mwamba kawabana panapostahili