Hii Ndio Maana halisi ya Respect is Earned not offered.Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa
Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko vizuri."
Tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari."
Tunaendelea kupokea misukumo yake, condition zake, matakwa yake. Tunaendelea na ndio mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi."
Soma Pia: Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka
Mwisho wa kunukuu.Tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari."
Respect is earnedLissu shikilia hapo hapo.
Wazee wa sisitimu ya taarifa mwenyekiti, Rasi kasokota nywele zake vizuri, taarifa mwenyekiti, tena kasokota vizuri kuliko marasi wote waliowahi kutangulia akiwemo Marehemu Bob Marley.well done Dr. Samia Suluhu Hassan,
unafanya kazi nzuri sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.
Tupo nyuma yako na tutallinda taifa letu kwa wivu mkubwa, kwa nguvu na gharama yoyote ile.
huyo moja hata asikusumbue, ni kibaraka huyo ametumwa tunamjua vizuri sana 🐒
ok.🐒Wazee wa sisitimu ya taarifa mwenyekiti, Rasi kasokota nywele zake vizuri, taarifa mwenyekiti, tena kasokota vizuri kuliko marasi wote waliowahi kutangulia akiwemo Marehemu Bob Marley.
Kabla ya Uchaguzi, walikusanyana na vyama vyetu pendwa 18 vya mfukoni lakini mwisho wa siku tukaishia kwenye yale maafa ya MO29. Kwa nini tunarudia kosa lile lile? Kuamini kuwa hivyo vyama ni wawakilishi wa wananchi walio wengi? Hatuwezi kutatua matattizo yetu kwa kudhani kuwa hayapo au yameisha. Na muhimu zaidi, hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa mbinu zile zile zilizosababisha mauaji ya MO29. Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuileta nchi pàmoja, wana CCM wenzangu, tuje na mbinu mpya. Haya mengine hayana faida kwetu wala kwa nchi yetu.Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa
Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko vizuri."
Tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari."
Tunaendelea kupokea misukumo yake, condition zake, matakwa yake. Tunaendelea na ndio mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi."
Soma Pia: Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka
Mahangaiko kibano cha jumuiya ya madolaDuuu,
Aiseee.
Siasa zina raha sana hizi.
acha porojo zako na kuwapiga kamba wadau wa Jf wewe tunakujua,Lissu kawabana vizuri.
Wananchi bado tuna vidonda vya 29 OCT hatujasahau tunataka haki itendeke..!!
Nilijua utawashwa na comment yangu, mama yako pumzi inakata Lissu anampeleka mbio anajiongelesha..!! 😹😹😹acha porojo zako na kuwapiga kamba wadau wa Jf wewe tunakujua,
kumbaf sana aise 🤣
Dokta huyo hata kumwandikia mgonjwa dose ya panadol hajui aanzie wapi!well done Dr. Samia Suluhu Hassan,
unafanya kazi nzuri sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.
Tupo nyuma yako na tutallinda taifa letu kwa wivu mkubwa, kwa nguvu na gharama yoyote ile.
huyo moja hata asikusumbue, ni kibaraka huyo ametumwa tunamjua vizuri sana 🐒
Jizi na lipenda rushwa limechangiaLisu anapenda sana kesi wampe nyingine.