Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Mwaka 1 tayari bado 19.Hahaha alishasema hata akikaa hela miiaka 20 Hana shida he will never bow down
Mwaka 1 tayari bado 19.Hahaha alishasema hata akikaa hela miiaka 20 Hana shida he will never bow down
MkuuHata sielewi mtu wa aina hii walimwokotaokotaje katika ngazi zote hadi kufikia huku?
Lisuu hajawahi kuwa kundini; atarudije kwenye kundi la waovu kama nyinyi.Lisu rudi kundini tujenge nchi pamoja kuendelea kusota gerezani ni kutusononesha vijana tunaotegemea maono yako kwaajili ya kizazi hiki na cha baadae
Na wakati wote huo wa miaka 19, hali yako kimaisha itakuwa duni zaidi kuliko ulivyo sasa!Mwaka 1 tayari bado 19.
Kwani amejipeleka mwenyewe pale kizuizini?Lisu rudi kundini tujenge nchi pamoja kuendelea kusota gerezani ni kutusononesha vijana tunaotegemea maono yako kwaajili ya kizazi hiki na cha baadae
Nadhani wasipotumia 'tactical problem' yao ya kumtumia Dpp kujifanya hana nia ya kuendelea na kesi, Lissu anaenda kuwavua nguo.Leo majira ya mchana maamuzi ya maombi ya marejeo ( Revision) yaliyofunguliwa na DPP dhidi ya Tundu Antipas Lissu, katika mahakama ya rufaa yamesoma na Lissu ameshinda.
Sasa ni mawili; turudi mahakama kuu kuendelea na tulipoishia kwenye kesi ya uhaini, au waifute na kumwachia huru Tundu Antipas Lissu.
Kumbuka hata tukirudi na kuendelea na kesi hii ya uhaini mahakam kuu lakini ushahidi wake muhimu ulishakataliwa na mahakama.
Siyo Rachel Dangwa kweli!Huyo mwenzetu ni Mange kimambi
Kwanini ushauri huu hukuutoa tangu mwanzo?Lisu rudi kundini tujenge nchi pamoja kuendelea kusota gerezani ni kutusononesha vijana tunaotegemea maono yako kwaajili ya kizazi hiki na cha baadae
Mkuu, wewe ni mvumilivu sana na ni mfano wa kuigwa.Kuna muda huwa natamani wewe na Lucas Mwashambwa niwaweke kwenye ignored list lakini naona maisha bila kuwa na watu kama nyie yanakosa radha flani hivi. Huwa nasoma mabandiko yenu huku nacheka. Mpaka unajiuliza huyu kiumbe katoka wapi 🤔.
Lakini anyway mimi ujinga wenu sometimes unanitolea stress, big up kwenu watu tunawadharau nyie mnapiga buku7.
Mkuu, siyo kwamba hawana akili au ni mazombie, wanafanya hayo kwa malipo kiduchu.Mkuu, wewe ni mvumilivu sana na ni mfano wa kuigwa.
Mimi siwezi kuvumilia hoja kutoka kwa watu wasiotafakari na kuweza kujenga hoja zenye mantiki.
Watu wanaofanana na mazombie ama robots, mie siwezi nshawafuta wote.
Sio Mama tu. CCM kwa ujumla..anajifurahisha tu.
..tuko vizuri vipi wakati kuna watu wamepotezwa?
..tuko vizuri vipi wakati makesi ya UGAIDI yameshamiri nchini?
..Mama nchi imemshinda.
Whatever. CHADEMA ndio denominator. Bila CHADEMA wanachofanya ni bure. Yeye Rais amekiri alipata asilimia 98 sababu chama kikuu cha upinzani hakikushiriki.Ila samia hajasema wanamsikiliza Lisu.
Inawezekana wanamsikiliza Heche ambaye ndiye anaongoza chama kwa sasa.
Ni naona hivi. Hao walioko hapo ndo wapo kwa maslahi yao, hao wasiokuwepo ndo wapo kwa maslahi ya nchi huko walipo.Kweli huyu tobo kisu ni haambiliki ;
Wenzake wote wapo hapo kwa maslahi ya nchi Chama chake tu ndio kikwazo.
Wao ndio wenye umuhimu kuliko wengine, wasikilizwe wao tu kwenye kila jambo.
Wasitucheleweshe kwenye mambo mazuri ni kuwaacha wabakie hivyo walivyo na ukaidi wao.
"Tunaendelea kupokea misukumo yake, condition zake, matakwa yake. Tunaendelea na ndio mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi." Mmmh! CcM mmekusanya vyama "RAFIKI" kama mnavyojitambulisha wenyewe mkitegemea mtamdhibiti huyo mwenzenu mnayemsubiri huku mmemkaba koo! Akija mtakubaliana nyie na hoja zenu ambazo tayari mmeziandaa na kukubaliana kisha mtavunja kikao na kuzipitisha hoja zenu huku mkimtengenezea lawama kuwa amevuruga kikao.Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa
Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko vizuri."
Tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari."
Tunaendelea kupokea misukumo yake, condition zake, matakwa yake. Tunaendelea na ndio mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi."
Soma Pia: Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka
Uko wapi ugaidi wa Mbowe?, ......na wa Lwakatare je,.......Wakivunja sheria hakuna atakayewaacha kisa wao ni Chadema.
Huyo ni makamu wake kampuga kijembe wala sio lissuRais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa
Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko vizuri."
Tuko vizuri lakini mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari."
Tunaendelea kupokea misukumo yake, condition zake, matakwa yake. Tunaendelea na ndio mambo yanavyoendeshwa kwenye nchi."
Soma Pia: Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka