nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Chadema ni watanzani,Rais ni wa woteJapokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.
Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.
Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.
Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.
My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Kuilinda ccm isiondoke madarakani kwa kumfarakanisha na wananchi haitasaidia
KIFO KIKIFIKA HAKUNA PA KUJIFICHA,