Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Chadema ni watanzani,Rais ni wa wote
Kuilinda ccm isiondoke madarakani kwa kumfarakanisha na wananchi haitasaidia
KIFO KIKIFIKA HAKUNA PA KUJIFICHA,
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Hawa kina faru John na genge lake, ni punguani pekee anayeweza kuwasikiliza. Kwanza wananchi tumeshawachoka, kimebaki kujitembeza tu.
 
Sijaona ubaya wowote kwa yanayoendelea.Mimi ninachoona ni wananchi wanapractise haki zao kwa mujibu wa katiba.Kama kuna sheria zinavunjwa nieleze hapa.
 
Mwenye utoto ni wewe ambae unaanzisha mada kisha unashindwa kuitetea.Nieleze chadema wameitishiaje mamlaka na kwa kufanya hivyo wamevunja sheria ipi.
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.

Viatu aliyoirithi huyo vimempwaya. Mtu ambaye alikuwa 2nd in charge kwa zaidi ya miaka mitano hakupaswa kuambiwa na mtu yeyote juu ya hatari ya kuwakenulia watu waliowahi kutangaza live adhima yao ya kuifanya nchi isitawalike!
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Nami nakazia plz plz Rais wetu mpendwa, ukiwachekea nyani ktk shamba lako la mahindi utayavuna mabua! Usiwalegezee wapinzani komaa nao! Mwendo uwe ule ule! Kamata Finya weka ndani akale bure ili mambo yaende! Tusiichezee tunu yetu!
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewahutukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama hayati JPM hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tuskibali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Huna chocho au lolote mbele ya Chadema, chadema ni watu na watu ndo wenye nchi , na wanaongozwa na katiba na sheria, haya Mambo ya kumfanya Rais ndo ameshikiria O2 na haki za watu na sio sheria za nchi , baki na zigo lenu vichwani mwenu , sie CHADEMA hatuko, maana tunajitambua
 
Ukweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
"" APENDE ASIPENDE""
Ujasiri huu huwa mnautoa wapi? yaani mnajaribu kumshurutisha Rais wetu,how shits is it?
::Ipo sababu kwa sasa serekali kutumia misuli zaidi.
 
Hakuna siasa nyepesi Africa

Lazima watu wawe huru kufanya siasa nchini mwao

Wewe ni nani uwapangie watu cha kufanya kwenye taifa huru.

Mwambie bibiyako afute kwanza vyama Vingi vya siasa ndio aje hapa kuongea ujinga wake wa kuvunja katiba na sheria za nchi.

Pumbavu zako

Katiba sio ya chadema wala ccm katiba ni takwa la watanzania wanaojitambua sio wapumbavu kama wewe.!
Kuna sehemu ulienda wananchi wakakwambia Changamoto zao ni katiba?
 
Back
Top Bottom