Sa
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.
Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.
Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.
Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.
Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.
My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
ruhusu demokrasia nchini la sivyo utatoweka kwa aibu kama jpm.