Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

Sa
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.

ruhusu demokrasia nchini la sivyo utatoweka kwa aibu kama jpm.
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Lete hio thread yako ikimuonya samia. Na je meko yuko wapi
 
kumbe ndio maaana.
ukimchekea nyani utavuna mabua.
mchelea mwana...............................
viongozi wetu wa chadema wamekosa sana ustaarabu, kwa kifupi sio wastaarabu ndio maana tunaonekana chama cha wahuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna siasa nyepesi Africa

Lazima watu wawe huru kufanya siasa nchini mwao

Wewe ni nani uwapangie watu cha kufanya kwenye taifa huru.

Mwambie bibiyako afute kwanza vyama Vingi vya siasa ndio aje hapa kuongea ujinga wake wa kuvunja katiba na sheria za nchi.

Pumbavu zako

Katiba sio ya chadema wala ccm katiba ni takwa la watanzania wanaojitambua sio wapumbavu kama wewe.!
Keybord worries
 
Umemuuliza baba ,babu,shangazi ,mama ,mke,mume ,mtoto,mjomba na rafiki zako wakasema wanataka katiba mpya ?hii tabia ya kujumua fikra za watu wote inapaswa kubadilika
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Kama pesa zote za ruzuku, za wafadhili kutoka Ujerumani,makato ya wabunge Kila mwezi na hawajajenga hata kijiofisi makao makuu ndo ujue Hawa wasaka shilingi,wakipewa chochote ili kuleta vurugu wako tayari.
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Sijui hizi likes 14 umezipata wapi? Nadhani ni kwa wapumbavu wenzio. Anyway, kutawala wajinga raha sana. Ukifanya mazuri watakutetea, ukifanya vibaya watakutetea vilevile!!
 
Idugunde bwana unanifurahishaga Sana kamanda yaani wewe ni Moja ya watu akili kubwa hapa jamvini

Napendekeza JF wakupe u mods wa jukwaa la siasa maana unaweza limudu Kwa akili yako kubwa ya kuchambua mambo!
Hahahahaaaaaaaaa, wapumbavu hujuana kwa vilemba vyao! Yaani na wewe unamuona huyu kenge ni akili kubwa? Daaah!!!
 
Mimi nadhani kwamba Chadema ndiyo wanawatengeneza viongozi wetu kuwa na 'mkono wa chuma'
tatizo ni kwamba wanataka( siyo kutoa maoni/ushauri) Rais aliyepo madarakani wampe mwongozo wa nini afanye na nini asifanye. Sidhani kama duniani kote aliwahi kutokea kiongozi wa dizaini hiyo. Mama SSH alianza vizuri sana na ninyi lakini mnataka kumpeleka mnavyotaka. Natabiri kwamba mkiendelea hivyo atawashughulikia kwelikweli kwa mujibu wa sheria.
 
Hahahahaaaaaaaaa, wapumbavu hujuana kwa vilemba vyao! Yaani na wewe unamuona huyu kenge ni akili kubwa? Daaah!!!
hahaahaahaa mkuu hebu Soma hiyo comment Kwa jicho la tatu halafu fanya iwe kinyume chake nimetumia lugha ya picha tu kumbagaza huyo MATAGA!
😂😂😂😂😂😂🙌
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Ukafilie kwa mbali umemkumbatia Jiwe huko jehànamu alipo
 
Yaan mboyoyo zoootee hiz ni issue ya katiba mpya 🤣🤣🤣🤣na hapo katiba ni kwaajil ya afya ya taifa na ustaw.
 
Japokuwa inaweza kuwa ni kushukuru sababu umewashtukia mapema kabla hawajapata kuchafua hali ya usalama wa nchi.

Lakini Mama Samia tambua kabisa Chadema ni genge la wasaka njururu kupitia siasa.

Na kama ukilegeza zaidi yale yalimkuta Jakaya mpaka akina hayati Mwangosi na yule kijana machinga aliyefariki Morogoro yatatokea.

Kuwa kama Hayati Magufuli hakuna kucheka na watu wasio na nia njema na taifa letu.

Kidogo tu umelegeza wakafanya mikutano ya ndani na kijiziara cha kidijatari. Tayari wanataka kukutia vidole machoni ili wakujaribu.

My take; Tusikubali kupelekwa na wanasiasa waganga njaa ambao hawana lolote mkichwa.
Ugoro mtupu
 
Back
Top Bottom