Rais Samia: Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi

Rais Samia: Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliofanyika Leo Agosti 7, 2026 Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia ameeleza kuwa Tume hiyo imekabidhiwa hadidu za rejea zitakazotoa mwongozo wa utekelezaji wa majukumu yake na itawasilisha ripoti pamoja na mapendekezo kwa mujibu wa sheria.

Aidha, Rais Samia amesema kuwa Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi. Hata hivyo, amebainisha kuwa serikali iko tayari kuongeza muda ikiwa itahitajika ili kufanya uchunguzi huo kuwa wa kina zaidi.

"Natambua uzito wa jukumu hili, lakini kwa kuanzia tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi. Sasa kama kutakuwa na ombi la kuongezwa muda tutangalia baadaye tuongeze muda ili wafanye kazi yao kwa wigo mpana"- Amesema Rais Samia
 

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria, uliofanyika Leo Agosti 7, 2026 Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia ameeleza kuwa Tume hiyo imekabidhiwa hadidu za rejea zitakazotoa mwongozo wa utekelezaji wa majukumu yake na itawasilisha ripoti pamoja na mapendekezo kwa mujibu wa sheria.

Aidha, Rais Samia amesema kuwa Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi. Hata hivyo, amebainisha kuwa serikali iko tayari kuongeza muda ikiwa itahitajika ili kufanya uchunguzi huo kuwa wa kina zaidi.

"Natambua uzito wa jukumu hili, lakini kwa kuanzia tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi. Sasa kama kutakuwa na ombi la kuongezwa muda tutangalia baadaye tuongeze muda ili wafanye kazi yao kwa wigo mpana"- Amesema Rais Samia
Afrika ni Afrika tu,tungefurahi kama hao majaji wangetoka Amerika au Ulaya
 
1786098718174.png
... Kenge mpaka atokwe damu ...... ! 😅
 
Back
Top Bottom