IKEKERA
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 1,366
- 1,728
Mimi mtanzania ..Tanganyika haipo..hivi vigenge vyenu vya uhalifu ndo vihalalishe kwamba nchi Haina aman?Hivi na wewe ni Mtanganyika?wewe ni CCM?Aiseee
Hata uwezo wa kuona kwamba nchi hii Kuna shida sehemu unashindwa?Uchawa wako utaangamiza Taifa!