DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Akizungumza katika maonesho ya Siku ya Wakulima (Nanenane) Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma katika viwanja vya John Malecela leo, Agosti 8, 2025, Rais Samia amesema kuwa katika kipindi hiki kuanzia mwezi huu, vyama vyote vya siasa vimeanza michakato ya kupengua na kuteua wale wote watakaotuwakilisha kwenye uchaguzi mkuu.
Amesema kazi kubwa imefanyika ya kuwaangalia vyema wale wanaoonekana kuwa wawakilishi sahihi, ili ifikapo Oktoba tukachague viongozi bora kwa maendeleo ya kilimo, uvuvi na ufugaji.
Amesema kazi kubwa imefanyika ya kuwaangalia vyema wale wanaoonekana kuwa wawakilishi sahihi, ili ifikapo Oktoba tukachague viongozi bora kwa maendeleo ya kilimo, uvuvi na ufugaji.