GE2025 Rais Samia: Tumejidhatiti Kuungasisha Kigoma kwa njia zote barabara, reli na njia ya maji

GE2025 Rais Samia: Tumejidhatiti Kuungasisha Kigoma kwa njia zote barabara, reli na njia ya maji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amesema serikali yake imejidhatititi kukuza uchumi wa Mkoa wa Kigoma kwa kuboresha na kukamilisja ujenzi wa barabara, anga, reli na njia ya maji


 
Miaka yote walikuwa wapi ?
Watoa ahadi wana bahati nzuri wabongo wamezoea kudanganywa.
 
Back
Top Bottom