Samia huna aibu ndio maana unaendelea kusema uongo kuwa watanzania tumekupa ridhaa, watanzania gani muongo mkubwa wewe, sisi hatukutaki, hakukuwa na uchaguzi, hakuna kura zilipigwa za kukuweka madarakani ndio maana nakuita Samia na si Rais
Maneno yako ya pole yanatia hasira zaidi, wiki 2 zimepita ndio unaleta unafiki wako, Pole yako IMEKATALIWA UNATAKIWA KUWAJIBIKA kwa kuondoka Ikulu hakuna wa kudanganyika kwa huo unafiki.
Samia unasema umetoa msamaha, muovu mkubwa wewe unatoa msamaha kwa mamlaka ipi, muuaji, muongo, mwizi wa mali za umma unampa msamaha nani kwa madaraka yapi uliyonayo ya kusamehe? Walioshikiliwa wanatakiwa kuachiwa na si kusamehewa sababu hawana kosa, kosa mnalo nyie
Mnatia hasira sana, MAANDAMANO YAPO PALEPALE NDIO MNAYAPA NGUVU ZAIDI