Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Kwani pesa ni za kwake?View attachment 3059831
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao.
Aidha Rais Samia amewataka wakazi hao kuchagua viongozi wazuri katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamsaidia kuwafikishia maendeleo.
Huyo mama ameanza ubaguzi kama mtangulizi wake Mwendazake.................View attachment 3059831
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao.
Aidha Rais Samia amewataka wakazi hao kuchagua viongozi wazuri katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamsaidia kuwafikishia maendeleo.
Mama akitoboa 2025 nitajisaidia uwanja wa mkapaHuyo mama ameanza ubaguzi kama mtangulizi wake Mwendazake.................
Nimemsikia Kwa masikio yangu akiwaambia wale wananchi wa Dumila, kuwa wamchagulie viongozi wa serikali ya mitaa toka chama Tawala Cha CCM, akaendelea akisema iwapo watamchagulia viongozi wengine toka vyama vya upinzani, basi wajue kuwa maendeleo watayasikia Kwenye Bomba tuu!😎
Kiburi na dharau kwa walipa kodi.Huyo mama ameanza ubaguzi kama mtangulizi wake Mwendazake.................
Nimemsikia Kwa masikio yangu akiwaambia wale wananchi wa Dumila, kuwa wamchagulie viongozi wa serikali ya mitaa toka chama Tawala Cha CCM, akaendelea akisema iwapo watamchagulia viongozi wengine toka vyama vya upinzani, basi wajue kuwa maendeleo watayasikia Kwenye Bomba tuu!😎
View attachment 3059831
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao.
Aidha Rais Samia amewataka wakazi hao kuchagua viongozi wazuri katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamsaidia kuwafikishia maendeleo.
Ripot ya CAG ccm ishasema ilichukua hatua gani kwa waliopata hati chafu? Mapato na matumizi mnasomaga?Na viongozi wazuri na bora wenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo na fedha za maendeleo ni lazima watoke CCM tu.huko kwa wapinzani ni wababaishaji tu.angalia mtu kama Lissu aliwachangisha watu pesa ili anunue gari la kifahari kwa raha zake ,lakini mpaka sasa yupo kimya na hasemi pesa zimekwenda wapi na zilipatikana kiasi gani.
Wananchi nawasihi sana kuhakikisha mnachagua viongozi wa CCM katika ngazi zote.maana CCM itawaleteeni wagombea wazuri, waadilifu, wachapakazi,waaminifu na wazalendo.
Amewataka wananchi kuchagua viongizi wazuri, kwani viongozi wanachaguliwa na wananchi au wahesabu kura?View attachment 3059831
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao.
Aidha Rais Samia amewataka wakazi hao kuchagua viongozi wazuri katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamsaidia kuwafikishia maendeleo.
Na kweli, na wahesabu kura wataamua matokeo yaweje kwenye hizo chaguzi za kishenzi.Na viongozi wazuri na bora wenye uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo na fedha za maendeleo ni lazima watoke CCM tu.huko kwa wapinzani ni wababaishaji tu.angalia mtu kama Lissu aliwachangisha watu pesa ili anunue gari la kifahari kwa raha zake ,lakini mpaka sasa yupo kimya na hasemi pesa zimekwenda wapi na zilipatikana kiasi gani.
Wananchi nawasihi sana kuhakikisha mnachagua viongozi wa CCM katika ngazi zote.maana CCM itawaleteeni wagombea wazuri, waadilifu, wachapakazi,waaminifu na wazalendo.
Sasaivi kila mtaa ni wao tu kuna maendeleo gani?Huyo mama ameanza ubaguzi kama mtangulizi wake Mwendazake.................
Nimemsikia Kwa masikio yangu akiwaambia wale wananchi wa Dumila, kuwa wamchagulie viongozi wa serikali ya mitaa toka chama Tawala Cha CCM, akaendelea akisema iwapo watamchagulia viongozi wengine toka vyama vya upinzani, basi wajue kuwa maendeleo watayasikia Kwenye Bomba tuu!😎
Kuna mwingine alinunua samaki alijadiliwa wiki nzima, mwingine akanunua mhindi ikawa balaa, haya matendo ni ya kawaida sana, muwe mnaandika wakinunua vilemba heleni na hata leso basiView attachment 3059831
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao.
Aidha Rais Samia amewataka wakazi hao kuchagua viongozi wazuri katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamsaidia kuwafikishia maendeleo.
Yakiisha nakupokea mpaka uwanja wa uhuruHuyu
Mama akitoboa 2025 nitajisaidia uwanja wa mkapa